Kwa briefing ya Mwigulu jana hakika anafaa 2025

Bushmaster

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2022
Posts
583
Reaction score
1,265
Salaam,
Sio kawaida yangu kusikiliza briefing za kitaifa kwa siku za hivi karibuni, ila kwa jana kulikua hakuna haja hata ya wale mawaziri wengine kuwepo pale ulitosha kabisa, na huyu ndio Mwigulu tunaemtaka sio yule wa kutuhamisha Burundi.

Ile briefing sio tu ilitoka kwa Waziri wa Fedha kwangu naiita ni presidential briefing, kueleza mambo makubwa in and out tena kwa uwazi. Hisia (uchungu) na kwa lugha nyepesi na rahisi na ya kueleweka kwa kila rika ni uwezo wa hali ya juu sana ameonesha.

Kwa uwezo ule hakika Mwigulu yatosha kusema wewe ni engine ya Mama kwa sasa, hiyo nafasi imekutosha na ikatosheka na sasa hivi unachofanya ni kucover nafasi ya watu wengine. Hapa nieleweke vizuri, hiyo position ameishikilia vzuri na sasa anaziba nafasi ya uwaziri fulani ambayo inaonekana imepwaya.

Mimi kwa maoni yangu yaliyo huru utoke hapo nenda pale juu.

Bravo.
 
Mmeshaanza aisee,2025 akiwapa makopo ya rangi mkachore mawe yetu tukiwakamata tunawakata mikono aisee,hatuwezi kufurahi huku wapuuzi mkiharibu natural resources za nchi
 
Kuna nchi inaongozwa na Mapaka!Eti wananchi walipendekeza tozo๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Umeamua kuja na ID mpya muheshimiwa Madelu?
 
Ovyo kabisa
 
Tena kwa lugha-nyodo yake tumpe urais wa maisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ