Kwa briefing ya Mwigulu jana hakika anafaa 2025

Salaam
Sio kawaida yangu kusikiliza briefing za kitaifa kwa siku za hivi karibuni ila kwa jana kulikua hakuna haja hata ya wale mawaziri wengine kuwepo pale ulitosha kabisa,na huyu ndio Mwigulu tunaemtaka sio yule wa kutuhamisha Burundi

Ile briefing sio tu ilitoka kwa waziri wa fedha kwangu naiita ni presidential briefing,kueleza mambo makubwa in and out tena kwa uwazi,hisia (uchungu) na kwa lugha nyepesi na rahisi na ya kueleweka kwa kila rika ni uwezo wa hali ya juu sana ameonesha

Kwa uwezo ule Hakika Mwigulu yatosha kusema wewe ni Engine ya Mama kwa sasa,hiyo nafasi imekutosha na sasa hivi unachofanya ni kucover nafasi ya watu wengine,hapa nieleweke vizuri,hiyo position ameishikilia vzuri na sasa anaziba nafasi ya uwaziri fulani ambayo inaonekana imepwaya.

Mimi kwa maoni yangu yaliyo huru utoke hapo nenda pale juuuuu

Bravo
Hivi watz huu ujinganautoa wapi?kwa mtu mwenye akili timamu hiyo briefing kama uko deep upstairs ni disgualification kwake hata kwenye hiyo nafasi hatoshi.nchi imefeli completetly .waziri wa fedha mchumi hawezi kukontrol inflation.hawezi kutumia fiscal na monetary policies sasa ni mchumi gani huyo.hao ndo walikuwa wanakariri ili wafaulu mitihani but practically they are hopeless in deed.
 
132055F4-C435-4515-8CD5-4A0983478202.jpeg
 
Salaam
Sio kawaida yangu kusikiliza briefing za kitaifa kwa siku za hivi karibuni ila kwa jana kulikua hakuna haja hata ya wale mawaziri wengine kuwepo pale ulitosha kabisa,na huyu ndio Mwigulu tunaemtaka sio yule wa kutuhamisha Burundi

Ile briefing sio tu ilitoka kwa waziri wa fedha kwangu naiita ni presidential briefing,kueleza mambo makubwa in and out tena kwa uwazi,hisia (uchungu) na kwa lugha nyepesi na rahisi na ya kueleweka kwa kila rika ni uwezo wa hali ya juu sana ameonesha

Kwa uwezo ule Hakika Mwigulu yatosha kusema wewe ni Engine ya Mama kwa sasa,hiyo nafasi imekutosha na sasa hivi unachofanya ni kucover nafasi ya watu wengine,hapa nieleweke vizuri,hiyo position ameishikilia vzuri na sasa anaziba nafasi ya uwaziri fulani ambayo inaonekana imepwaya.

Mimi kwa maoni yangu yaliyo huru utoke hapo nenda pale juuuuu

Bravo
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Hahahahaaaaa
 
Unapima jazba za wanajf siyo? Kama kweli anazipenda tozo si aende kuzitoza Kodi zile ng'ombe za babake na wasukuma wenzake? Why Kwa wafanyakazi na wafanyabjashara TU na siyo wakulima na wafugaji? Aache double standard!
 
Salaam
Sio kawaida yangu kusikiliza briefing za kitaifa kwa siku za hivi karibuni ila kwa jana kulikua hakuna haja hata ya wale mawaziri wengine kuwepo pale ulitosha kabisa,na huyu ndio Mwigulu tunaemtaka sio yule wa kutuhamisha Burundi

Ile briefing sio tu ilitoka kwa waziri wa fedha kwangu naiita ni presidential briefing,kueleza mambo makubwa in and out tena kwa uwazi,hisia (uchungu) na kwa lugha nyepesi na rahisi na ya kueleweka kwa kila rika ni uwezo wa hali ya juu sana ameonesha

Kwa uwezo ule Hakika Mwigulu yatosha kusema wewe ni Engine ya Mama kwa sasa,hiyo nafasi imekutosha na sasa hivi unachofanya ni kucover nafasi ya watu wengine,hapa nieleweke vizuri,hiyo position ameishikilia vzuri na sasa anaziba nafasi ya uwaziri fulani ambayo inaonekana imepwaya.

Mimi kwa maoni yangu yaliyo huru utoke hapo nenda pale juuuuu

Bravo
Ni Kweli anafaa sana kuwa Rais wa wanga kwenye kiringe Cha nyumbani kwao.
 
Back
Top Bottom