Kwa briefing ya Mwigulu jana hakika anafaa 2025

Hivi watz huu ujinganautoa wapi?kwa mtu mwenye akili timamu hiyo briefing kama uko deep upstairs ni disgualification kwake hata kwenye hiyo nafasi hatoshi.nchi imefeli completetly .waziri wa fedha mchumi hawezi kukontrol inflation.hawezi kutumia fiscal na monetary policies sasa ni mchumi gani huyo.hao ndo walikuwa wanakariri ili wafaulu mitihani but practically they are hopeless in deed.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Hahahahaaaaa
 
Unapima jazba za wanajf siyo? Kama kweli anazipenda tozo si aende kuzitoza Kodi zile ng'ombe za babake na wasukuma wenzake? Why Kwa wafanyakazi na wafanyabjashara TU na siyo wakulima na wafugaji? Aache double standard!
 
Ni Kweli anafaa sana kuwa Rais wa wanga kwenye kiringe Cha nyumbani kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ