Kwa CCM, January Makamba ni Asset

Kwa CCM, January Makamba ni Asset

Hawa ni watu wa kujisahau kuhusu mamlaka zao za juu,na maadili yao kikazi,wanamharibia mama kuelekea uchaguzi mkuu
 
Sema kweli Makamba anaweza asiwe mchapa kazi kiivo lakini huyu Mwana ni Mtulivu sana hili pekee linampa sifa njema.
Ogopa sana watu wa ivyo...kama wewe ni mkristo, kaangalie tofauti ya Yuda na Petro, Yuda alikua mkimya mnoo kuzidi harakati za Petro. Ila tazama mipango yake.......alikuja kumuuza "Bwana wake" pamoja na wema wake na ukuu wake kwao na wanadamu
 
Kikubwa utulivu mkuu, kuhusu utu sijui na ndio maana sijataka kulizungumzia kabisa.

Hapa nazungumzia break ya mdomo na mihemko tu.
 
Back
Top Bottom