Kwa CCM, January Makamba ni Asset

Kwa CCM, January Makamba ni Asset

Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM.

Naomba CCM mjitafakari Sana.
Wajinga wape chakula wale washibe then watafutie michezo wacheze au watengenee Mada ya kujadili na hapo utakuwa umemaliza kazi.

Wajinga wa nchi hii wako busy kujadili ujinga ilihali maisha still yako pale pale, nchi inauzwa, nchi inapigwa
 
Tokea nimemjua makamba na hoja zake za quotes za great thinkers sijawahi wala sijapata shuhuda za akili zake zipo wapi cha zaidi naona kuna ndumilakuwili anayepigiwa debe na machawa wake anaowapa senti ili aonekane mtu na kumbe mzigo.

Waziri au mtendaji mwenye uwezo huna haja ya kuambiwa uwezo wake utaona matendo yake yanazaa matunda.

Ukimuweka makonda na Makamba Jr me nitamchagua makonda ana afadhali juu ya makamba kiutendaji.

Huyu Makamba, Mwigulu, Nape ni takataka ambazo hazitakiwi hata kuwa hapo serikali ya mtaa. Hakuna brain bi zero zero zero.
 
Sema kweli Makamba anaweza asiwe mchapa kazi kiivo lakini huyu Mwana ni Mtulivu sana hili pekee linampa sifa njema.
Utulivu wake unalisaidia taifa kwa faida gani, mbona vijana wa sasa mnakuwa na akili za kipumbavu namna hii?

Wewe kuelimika kwako kote ni wapi ulipowahi kusoma kuwa sifa ya kiuongozi ni utulivu, sisi kama raia yeye akitulia na utulivu wake inatusaidia nini kimaendeleo?

Hebu nenda kamfuate mkatulie pamoja huko ofisini kwake.
 
Wewe na fujo zako umelisaidia nini hili taifa?
 
Kwahiyo umeamua kuja kujitetea huku buana kipara ngwidu 🤔 wewe ni mtu hovyo tuu Kila unako wekwa unashindwa hubebeki
 
Utulivu unafaa nini ikiwa mja si mchapakazi?

Kuna faida gani kuwa na waziri mtulivu asiye mchapakazi?
Nani ni mchapa kazi huko CCM?? Maana hatuoni mabadiliko yoyote,,labda pale CCM yote itakapo ondoka
 
Nani ni mchapa kazi huko CCM?? Maana hatuoni mabadiliko yoyote,,labda pale CCM yote itakapo ondoka
Inategemea na jicho lako latazameje mambo...

Watendaji ndani ya CCM ni wengi kuliko wababaishaji...

Hawateuliwi tu kwenye nafasi za maana ila wapo...
 
Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM.

Naomba CCM mjitafakari Sana.
Mwizi wa mtihani unasema ana utulivu, akili na ufahamu kwelii??
 
Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM.

Naomba CCM mjitafakari Sana.
Mnatapatapa kwahiyo ccm inamtegemea makamba ??? Kweli wewe hamnazo, kuna mtu aliokuwa na nguvu na ushawishi kama lowasa? Alivyojaribu kupimana mbavu na ccm uliona nini kilichomkuta, hawa watu wanabebwa na chama , wao kama wao ni weupe tu, magufuli si aliwatoa wote ,uliona ccm iliteterwka?
 
Kikubwa utulivu mkuu, kuhusu utu sijui na ndio maana sijataka kulizungumzia kabisa.

Hapa nazungumzia break ya mdomo na mihemko tu.
Shida unalolizungumzia halina faida ama positive impact kwa wananchi, utulivu hauna impact kwa maendeleo yao, sisemi kua ni mpigaji ila nakupa mfano tu,: Hivi kiongozi ukiwa mtulivu na mpiga, wewe uo utulivu wako utakua na benefit gani kwetu?uongozi ni kwa ajili ya jamii, utulivu ni kwa gfnd yako ama mkeo na familia. Ndio sababu ya kukuweka mfano wa Yuda, maana Yuda utulivu wake kuzidi Petro haukua na tija kwa mambo ya msingi ila kilikua kivuli cha kupanga mipango kisiri ili amuuze Bwana wake.
 
Shida umetumia mifano ya Kizayuni hii ni Bongo.

Anyway kweli hakuna faida lakini hakuna hasara pia. Bilabila ni sawa na hakuna mtu pale.
 
Back
Top Bottom