GE2025 Kwa CCM: “No Reforms No Election” inawahusu pia. Oneni sasa, Mnaleletewa Mkutono Mtandaoni kuzibwa Midomo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawawezi amka hao kofia na baiskeli zimewachanganya akili.
SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'a...jpg
 
Ukweli hii No Reforms No Election ni ya Watanzania wote. Wana CCM sasa wanadhibitiwa mpaka kwenye mikutano yao. Inakoelekea it will get even worse. Makada, Work up.
Makada wengi wa fisiem hawapo kama tunavyowafikiria kwanza wengi wana njaa hivyo hawana uwezo wa kufanya maamuzi, pili wengi ni wachumia tumbo wakishapewa rushwa waliyoipa jina la( takrima) hapa naongelea vitu pety kama nguo za kijani, baiskeli au vi elfu 10000 wao wanaufyata .
Lakini pia kuna kundi lingine lenyewe ni la watu wenye maslahi binafsi, wao upendelea serikali na mifumo yake iwe dhaifu ili wapitishe maswala yao, hawa pia huwezi kuwakuta wanalalamikia reform kwenye chama chao.
Kundi lingine ni ambalo limekighalimu chama ni hili la watu kama yule mzee aliyetoa hoja ya mgombea mmoja, yeye na kundi lake wapo kwenye chama kuhakikisha kizazi chao kinakuja kushika nafasi kubwa kubwa seeikalini. Hili ni kundi hatari na ndilo limekifanya chama kufanya makosa anayoyaongelea Pole pole na hata Mzee Butiku amedokeza kihusu kundi hili.
Yote kwa yote CCM inafuga watu wengi maskini sana na ndiyo maana watu kudumu chama tawala ni wengi mno ,hapa naongelea maskini wa kipato na fikra.
 
Wako busy kwenye mlo.
 
Attachments

  • VID-20250724-WA0005.mp4
    3.8 MB
Ukweli hii No Reforms No Election ni ya Watanzania wote. Wana CCM sasa wanadhibitiwa mpaka kwenye mikutano yao. Inakoelekea it will get even worse. Makada, Work up.
Waliambiwa..wakimaliza wapinzani watahamia ndani wakadhani ni ngonjera!

Na bado, ngoja kikundi kirudi uone hii mitano itavyokuwa meusi, mtaitisha NRNE wenyewe!

Kama mtu haeshimu katiba ya chama kilichompa dhamana,ataheshimu katiba ya nchi?
 
Back
Top Bottom