Kwa CHADEMA kuanza kupokea ruzuku, akina Halima Mdee wanasameheka

Kwa CHADEMA kuanza kupokea ruzuku, akina Halima Mdee wanasameheka

Watakiwa wamekutuma kuwatetea sio Bure, waambie tulishamalizana napo na mbowe hana Cha kuwasaidia. Baraza kuu lilishafanya yake
Umemjibu vizuri sana kuwa “Mbowe hana chakuwasaidia baraza kuu lilishafanya yake”. So huyu mbwiga atapata tabu.
 
Ila ruzuku inayotokana na ubunge wao mnaitaka😅😅😅njaa mbaya
kwa ujinga wako hujui hata ruzuku ya vyama vya siasa nchi hii inalipwaje by the way ruzuku inachukuliwa na hao malaya wachukue uwapeleke kwenye chama chako ukawape uwanachama na kisha muwasimamishe kugombea dhid ya wagombea wa chadema jinga wewe.
 
Kitendo cha CDM kuwasamehe hao wahuni kutaharibu haiba yao na kitaigharimu sana cdm. Mtaji wa CDM ni watu, hao viongozi wenye tamaa ya fedha ni sehemu ndogo sana ya ubora wa CDM. Tuko sisi wafuasi wa CDM ambao hatutakuwa nao pindi wakichukua hatua hizo. Tulivumilia kwa shingo upande ujio wa Lowassa, ila sio hili.
Sasa utafanya nini? Maana siku hizi kuna kauli unaambiwa anzisha chama chako.
 
Again huu ndio upumbavu mwingine, why hujisomei kupata facts?,ubunge wao umetokana na KURA walizopata CDM kwenye uchafunzi ule, shirikisha ubongo wako pls na usiwe mvivu wa kutafuta facts

Kama mliibiwa kura kwanin mpokee pesa za kura za uongo?

Nyie ni sehemu ya project?
 
Itakuwa huelewi ruzuku inatolewa kwa utaratibu gani.
Inatokana na idadi ya kura za Chadema ilizopata katika uchaguzi.

Maana hii kweli chadema walipata kura zile?

Kama sio why mpokee pesa ambazo mnajua kabisa ni zao la uovu?
 
Kama mliibiwa kura kwanin mpokee pesa za kura za uongo?

Nyie ni sehemu ya project?
pesa zimepokewa kutokana na maridhiano yanayoendelea lakin pia tumefanya hivyo kuwakomesha uvccm na sukuma gang kama wewe ili mkondeane wa ujinga na dhurma mlizofanya 2020 kwenye uchaguz.
 
Back
Top Bottom