GE2025 Kwa Chaguzi kama hizi wanaCCM makini ndio maana wameamua kukaa kando

GE2025 Kwa Chaguzi kama hizi wanaCCM makini ndio maana wameamua kukaa kando

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Aibu kubwa kujihusicha na chama kama hiki.

Wizi ,ruchwa,upendeleo kwa familia za vigogo, kwenye mikutano

Katiba kuvunjwa kama vile watu wanavunja miwa.

Watu makini wamekaa kando
 
Msoga na RA wameiharibu sana CCM. CCM imekuwa genge la wanyang'anyi.
 
Aibu kubwa kujihusicha na chama kama hiki.

Wizi ,ruchwa,upendeleo kwa familia za vigogo, kwenye mikutano

Katiba kuvunjwa kama vile watu wanavunja miwa.

Watu makini wamekaa kando
Chato ni nani kapendekezwa na wajumbe?
 
Back
Top Bottom