Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Vita kwa US ni biashara na ina positive impact katika GDP yao ndio maana lazima wapigane kila siku, research utaelewaYes...
Vita gharama mdau, China anaangalia na kuchunguza..
USA Wana papara. Shida 💰
Siku hiyo currency haitatumika duniani mwisho wa ......m
Vita ya Libya iliifanya USA kuslow down katika economic growth,ndio maana GDP ratio yao ilikua ndogo na ya China ilipanda mara 4 zaidiVita kwa US ni biashara na ina positive impact katika GDP yao ndio maana lazima wapigane kila siku, research utaelewa