Tuna vyama 17 vilivyoshiriki uchaguzi lakini CHADEMA wanawaona wote kutoka vyama hivyo kama vile hawajui kitu gani wanachokifanya.Ndio maana wamevilinda vyama vyao viwili miaka nenda miaka rudi.
Republican kazi yake ni vita
Democrats kazi yake ni unafiki ila wote husimamia maslahi ya Marekani.
Somo hapa ni kwamba CCM inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote haswa ikizingatiwa wananchi hawakuhitaji mfumo wa vyama vingi.
Pole sana siasa za marekani hazifanyi kazi hivyo . Eti CIA inalinda chama? Usichekeshe watu hapaNdio maana wamevilinda vyama vyao viwili miaka nenda miaka rudi.
Republican kazi yake ni vita
Democrats kazi yake ni unafiki ila wote husimamia maslahi ya Marekani.
Somo hapa ni kwamba CCM inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote haswa ikizingatiwa wananchi hawakuhitaji mfumo wa vyama vingi.
Hujui kitu kuhusu siasa za marekani....Pole sana siasa za marekani hazifanyi kazi hivyo . Eti CIA inalinda chama? Usichekeshe watu hapa
Halafu sisi huku kuna takataka moja inajiita TISS imeachana kabisa na Usalama wa Taifa yenyewe inalea majizi na mabadhirifu ya mali za uma kwa kutumia kodi za wananchi, MAVI KABISA.Tunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani.
Kila siku—kwa ari na dhamira ileile ya waliotutangulia—maafisa wetu hutumia uwezo wa kipekee kukusanya, kuchambua, kutathmini na kusambaza taarifa za kijasusi kwa Rais na watunga sera.
Tunajivunia kulitumikia taifa letu na kulilinda ili liendelee kuwa salama.
View attachment 3524976
Umeongea kitu kizito sanaMaeneo mawili ambayo Tanzania imeboronga na itaendelea kupata shida sana ni kwanza, kutokuwa na Idara imara ya Usalama wa Taifa ambayo inaendeshwa kwa weledi na inajali maslahi mapana ya Taifa na siyo ya kikundi cha watu fulani au chama fulani cha siasa. Hii ingezalisha TAKUKURU iliyo bora. Polisi iliyo bora. Baraza bora la Mawaziri. Faida zake zingekuwa nyingi sana.
Eneo la pili ni kushindwa kuweka misingi imara isiyoweza kuingiliwa kirahisi ya kutofautisha Mihimili minne ya utawala wa nchi (najua official ni 3 na mmoja ni mass media).
Bila kurekebisha maeneo haya mawili, tutaendelea kupata shida saana.
Ww ndio hujui kitu, uliza watu wanaoishi au waliowahi ishi us muda mrefu.Hujui kitu kuhusu siasa za marekani....
vyama viwili vinalindwa na CIA Tena bila kificho.
Republican wanaketa vita
Democrats wanajidai kuboresha mahusiano kimataifa ila lao ni moja tu
Nitajie chama kilichowahi kushinda uchaguzi nje ya hivyo vyama viwili.Ww ndio hujui kitu, uliza watu wanaoishi au waliowahi ishi us muda mrefu.
Kwanza us ina zaid ya vyama vya siasa 55, na hivyo ni qualified parties
Bado state parties almost 238
Kwa sheria za marekani CIA iko prohibited kujihusisha na siasa za ndani, or even ku collude.
even upelelez wa ndani, hiyo kazi iko kwa FBI
Kuwaonya wagombea kama maisha yao yako hatarini ila si kuwatafutia kura
Au kuwapigia kampeni au kuiba kura
Kasome
The National Security Act 1947
Executive Order 12333
Na funga kazi The Hatch Act (1939)
Hamna siasa za kishamba huko, kama unaweza utashinda kama huna utarudi nyumbani
Hamna kubebwa
Nitajie chama kilichowahi kushinda uchaguzi nje ya hivyo vyama viwili.
Serikali imekusomesha halafu unakosa uwezo wa kuchambua mambo ??
Hata Raia wa Marekani hawana akili kama matope . Hata inapotokea Rais aliyeingia madarakani hafanyi matarajio ya wengi, Raia wa Marekani huwezi kuwasikia kuiombea nchi yao kutawalaiwa na wachina ama Warashia . Na hawawezi kuisifia nchi nyingine kisa rais wao hawampendi ila uje Tanzania wananchi wa chama fulani wao wanaomba nchi yao itawaliwe na Mataifa ya kigeniTunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani.
Kila siku—kwa ari na dhamira ileile ya waliotutangulia—maafisa wetu hutumia uwezo wa kipekee kukusanya, kuchambua, kutathmini na kusambaza taarifa za kijasusi kwa Rais na watunga sera.
Tunajivunia kulitumikia taifa letu na kulilinda ili liendelee kuwa salama.
View attachment 3524976
For the record umesoma private kindergarten mpaka chuo kikuu?Umesoma sheria zao au unaangalia ushindi wa vyama?
Umesoma vifungu?
For the record sijasomeshwa na na serikali, tena mnikome kabisa hawakuchangia hata 100
For the record umesoma private kindergarten mpaka chuo kikuu?Umesoma sheria zao au unaangalia ushindi wa vyama?
Umesoma vifungu?
For the record sijasomeshwa na na serikali, tena mnikome kabisa hawakuchangia hata 100
Is it relevant ku disclose such info hapa kwa mada kama hii?For the record umesoma private kindergarten mpaka chuo kikuu?