Kwa CIA, usalama ni kwa ajili ya nchi. Si kwa ajili ya chama fulani

Kwa CIA, usalama ni kwa ajili ya nchi. Si kwa ajili ya chama fulani

Tunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani.

Kila siku—kwa ari na dhamira ileile ya waliotutangulia—maafisa wetu hutumia uwezo wa kipekee kukusanya, kuchambua, kutathmini na kusambaza taarifa za kijasusi kwa Rais na watunga sera.

Tunajivunia kulitumikia taifa letu na kulilinda ili liendelee kuwa salama.
View attachment 3524976
Huku kwetu ni ujinga tu wa kulinda chama
 
Hata Raia wa Marekani hawana akili kama matope . Hata inapotokea Rais aliyeingia madarakani hafanyi matarajio ya wengi, Raia wa Marekani huwezi kuwasikia kuiombea nchi yao kutawalaiwa na wachina ama Warashia . Na hawawezi kuisifia nchi nyingine kisa rais wao hawampendi ila uje Tanzania wananchi wa chama fulani wao wanaomba nchi yao itawaliwe na Mataifa ya kigeni
Utawaliwe mara ngapi Sasa? Tanzania tayari ni koloni la UAE na china. Wakoloni Hawa wa Samia wanakwapua Kila kitu na hawarejeshi hata kamradi ka kujenga choo tu na ndio maana wanamtaka mkoloni mpya ambaye angalau ataajiri watu kwenye miradi yake. Bora marekani kuliko mwarabu na mchina.
 
Hiyo ni kwa sababu ya chuki ya ccm walioianzisha juu ya vyama vyengine kana kwamba havina haki ya kuishi nchini. Angalia yoyote anaekwenda kinyume na ccm adhabu yake ni kutekwa n kupotezwa sasa hapo nani atafurahia huwo ujinga.
 
Back
Top Bottom