Kwa CIA, usalama ni kwa ajili ya nchi. Si kwa ajili ya chama fulani

Huku kwetu ni ujinga tu wa kulinda chama
 
Utawaliwe mara ngapi Sasa? Tanzania tayari ni koloni la UAE na china. Wakoloni Hawa wa Samia wanakwapua Kila kitu na hawarejeshi hata kamradi ka kujenga choo tu na ndio maana wanamtaka mkoloni mpya ambaye angalau ataajiri watu kwenye miradi yake. Bora marekani kuliko mwarabu na mchina.
 
Hiyo ni kwa sababu ya chuki ya ccm walioianzisha juu ya vyama vyengine kana kwamba havina haki ya kuishi nchini. Angalia yoyote anaekwenda kinyume na ccm adhabu yake ni kutekwa n kupotezwa sasa hapo nani atafurahia huwo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…