Kwa comb ya PCP SIX ufaulu wa CDC naweza kupata kozi ya MD Kwa vyuo kama KCMC, Bugando na Kairuki?

Kwa comb ya PCP SIX ufaulu wa CDC naweza kupata kozi ya MD Kwa vyuo kama KCMC, Bugando na Kairuki?

Husika na mada tajwa hapo juu msaada 🥺 please
D ya nn? Lakn bado ningumu sana kupata hivyo vyuo jaribu kampala .lakn pia ada yake ni kubwa sana.
1. Kama nyumbani kwenu hampo vizuri utakuwa unaiweka familia kwenye madeni iliwewe usome .

2. Mm nina rafiki zangu walimaloza mwaka juzi 1 alikuwa na CCC na 2 alikuwa na CDB (chem, phy, bios) wote walikosa hivyo vyuo .lakin huyo wa pili alipata hapo kampala MD Lakn pia ada ilikuwa changamoto .

3 . Napia hapo kwenye ada unaweza kabla ya kufanya aplication ukapitia kwenye tovuti zao ukaona ada na malipo ya moja kwa moja .

4 .kampala mwaka jana walifungiwa kufanya udaili sasa kwa mwaka huu sijaju kama watakuwa wamekamilisha hivyo vigezo
 
Last year One ya 6 BBB walikosa UDOM,KCMC course ya Doctor of Medicine.Na one ya 5 walikosa MD pale MUHAS

Kumbuka ukikosa first round hivyo vyuo kwa kozi hizo ujue kwisha habari.
 
Kiukweli kwa
MUHAS 1.3 to 1.5 japo hadi 1.6 sometimes wanabahatika
UDOM 1.3 to 1.6
KCMC 1.3 to 1.6 na 1.7 (kwa bahati sana)
CUHAS 1.3 to 1.6 japo sometimes wanachukuaga hadi ya 8
UDSM 1.3 to 1.5
 
Kiukweli kwa
MUHAS 1.3 to 1.5 japo hadi 1.6 sometimes wanabahatika
UDOM 1.3 to 1.6
KCMC 1.3 to 1.6 na 1.7 (kwa bahati sana)
CUHAS 1.3 to 1.6 japo sometimes wanachukuaga hadi ya 8
UDSM 1.3 to 1.5
Nakariuki mkuu
 
Back
Top Bottom