Kwa dalili hizi naweza kuwa na mimba?

Kwa dalili hizi naweza kuwa na mimba?

batytyma

Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
8
Reaction score
4
Wapenda mimi ni mpya hapa naomba msaada wenu nimeingia period tarehe 7/12 nikapata period tena tarehe 17/12 huo huo yani mwezi mmoja niliingia mara mbili sasa mpaka saiv sijapa period nyengine nimeshapima na upt 4 zote zinaonesha positive nashindwa kushangiria mana sijaamini bado je nitakua na mimba kweli na je kwa tarehe hizo naweza kuwa nayo ili niwe na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo huna ujauzito isipokua ni mabadiliko tu ya mwili yametokea na ndio maana ukapa p mara mbili kwa wakati mmoja, either ulipata shock au ulikua na msongo wa mawazo mpaka ikatokezea hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapenda mm ni mpya hapa naomba msaada wenu nimeingia piriad tarehe 7/12 nikapata piriad tena tarehe 17/12 huo huo yan mwez mmoja niliimgja mara mbili sasa mpaka saiv sjapa piriod nyengine nimeshapima na upt 4 zote zinaonesha positive nadhindwa kushangaria mana sijaamin bado je nitakua na miba kweli na je kwa tarehe hixo naweza kuwa nayo ili niwe na amani

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji28][emoji28] utakua na miba
Anyway mapenzi umefanya lini na lini???
Na umesema vipimo vimeonesha positive??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wapenda mm ni mpya hapa naomba msaada wenu nimeingia piriad tarehe 7/12 nikapata piriad tena tarehe 17/12 huo huo yan mwez mmoja niliimgja mara mbili sasa mpaka saiv sjapa piriod nyengine nimeshapima na upt 4 zote zinaonesha positive nadhindwa kushangaria mana sijaamin bado je nitakua na miba kweli na je kwa tarehe hixo naweza kuwa nayo ili niwe na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom