batytyma
Member
- Jan 24, 2019
- 8
- 4
Wapenda mimi ni mpya hapa naomba msaada wenu nimeingia period tarehe 7/12 nikapata period tena tarehe 17/12 huo huo yani mwezi mmoja niliingia mara mbili sasa mpaka saiv sijapa period nyengine nimeshapima na upt 4 zote zinaonesha positive nashindwa kushangiria mana sijaamini bado je nitakua na mimba kweli na je kwa tarehe hizo naweza kuwa nayo ili niwe na amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app