Ambambo hujapaelewa ni wapi nikuelewesheRudia kwanza kusoma ulichokiandika kabla hatujakupa msaada wa tatzo lako.
Ni mabadiliko tu ya mwili.
Ila shogaa hiyo piriad, andika basi vizuri mpendwa[emoji847]
Umeeleweka ila kwa nguvu sana
Hapo huna ujauzito isipokua ni mabadiliko tu ya mwili yametokea na ndio maana ukapa p mara mbili kwa wakati mmoja, either ulipata shock au ulikua na msongo wa mawazo mpaka ikatokezea hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleweka ila kwa nguvu sana
[emoji111]
Wapenda mm ni mpya hapa naomba msaada wenu nimeingia piriad tarehe 7/12 nikapata piriad tena tarehe 17/12 huo huo yan mwez mmoja niliimgja mara mbili sasa mpaka saiv sjapa piriod nyengine nimeshapima na upt 4 zote zinaonesha positive nadhindwa kushangaria mana sijaamin bado je nitakua na miba kweli na je kwa tarehe hixo naweza kuwa nayo ili niwe na amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi kuusoma tu uuelewe unachoma calories za kutoshaUmeeleweka ila kwa nguvu sana
[emoji111]
Nimeanza kudo trh 23 mpaka januar[emoji28][emoji28] utakua na miba
Anyway mapenzi umefanya lini na lini???
Na umesema vipimo vimeonesha positive??
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji28][emoji28] utakua na miba
Anyway mapenzi umefanya lini na lini???
Na umesema vipimo vimeonesha positive??
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji22][emoji22]Wapenda mm ni mpya hapa naomba msaada wenu nimeingia piriad tarehe 7/12 nikapata piriad tena tarehe 17/12 huo huo yan mwez mmoja niliimgja mara mbili sasa mpaka saiv sjapa piriod nyengine nimeshapima na upt 4 zote zinaonesha positive nadhindwa kushangaria mana sijaamin bado je nitakua na miba kweli na je kwa tarehe hixo naweza kuwa nayo ili niwe na amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nifate pm nikupe ushauri wa kidaktar na nikulize baadhi ya maswali cz mengine siwezi kukuliza public