Hivi ukiona picha ya kitu usicho kifahamu itakuwa usefulBila Picha hii thread itakuwa useless.
Nenda shoprite Mikocheni au Masaki sehemu wanapouza mbogaKwa Dar es salaam, Walnut nuts nitapata wapi, na kwa kiswahili zinaitwa je? Asanteni.
Asantenenda shoprite mikocheni au masaki sehemu wanapouza mboga
Kwa Dar es Salaam, Walnut nuts nitapata wapi, na kwa kiswahili zinaitwa je?
Asanteni.