Kwa Dar es Salaam, 'Walnut nuts' nitapata wapi?

Kwa Dar es Salaam, 'Walnut nuts' nitapata wapi?

omurwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
509
Reaction score
186
Kwa Dar es Salaam, Walnut nuts nitapata wapi, na kwa kiswahili zinaitwa je?

Asanteni.
 
Dsm hadi pistacho unapata, ingia kwenye supermarkets kubwa au wajasiriamali wanaouza pack na kuuza nuts 🥜 mbalimbali.
 
Back
Top Bottom