Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Hiyo connection ndio sina mwenzanguBandarini .... tafta connection tuuu unapakua ndinga
Poa, ila iwe ya halaliMcheki +255682766003
Akupe gari, mpe maelekezo mmalize biashara umiliki gari yako.
hilo ondoa shaka mkuuPoa, ila iwe ya halali
Nb* USED pia sitaki iSt[emoji3064][emoji848][emoji2827]Life kama linaanza kuwa sawa kwa upande wangu.
Hivyo nahitaji niwe na kagari kamoja hivi ka kwenda nako harusini.
Je kwa Dar wapi naweza pata gari kali kwa bei Chee.
Budget yangu ni kama 5mil mpaka 7mil.
Nb* USED pia sitaki iSt
Kitaaalamu sana. ........nlitaka nikutagMcheki +255682766003
Akupe gari, mpe maelekezo mmalize biashara umiliki gari yako.
Ofisi ofisini nilishajitag mkuu 😁Kitaaalamu sana. ........nlitaka nikutag
Niombee na mm nizishike lazima niagize kupitia ww....ule commission sema langu litakua na ududu mwingi sanaOfisi ofisini nilishajitag mkuu 😁
Aseme anahitaji aina gani tumpe mwongozo kupunguza mazoezi.
😂 uadui utakuwa n mwingi sana. Utazishika tu Inshaallah mapambano yaendeleeNiombee na mm nizishike lazima niagize kupitia ww....ule commission sema langu litakua na ududu mwingi sana
Sawa mkuuhilo ondoa shaka mkuu
PoaNenda maeneo ya mlimani City upande wa kushoto kuna yard palee magalii kama yote
Ndugu zangu madungu jeshi yapo kama yoteKAZI ni kipimo cha utu
Je kwa Dar wapi naweza pata gari kali kwa bei Chee.
Jan international kuna ofa ya mwisho wa mwaka
kweli hizo huwa ni hisia tu jamaa wapo smart sana nimenunua kwao misimu karibia mitatu ya mwez wa 12 na gari zote zimenyooka acheni kutisha watu waje kwenu muwabamizeWezi wale atauziwa gari ina mauza uza, huwa wanachomoa spare wanafunga mbovu