Kwa Dar wapi kuna Chimbo la magari kali kwa bei chee

Kwa Dar wapi kuna Chimbo la magari kali kwa bei chee

sio

kweli hizo huwa ni hisia tu jamaa wapo smart sana nimenunua kwao misimu karibia mitatu ya mwez wa 12 na gari zote zimenyooka acheni kutisha watu waje kwenu muwabamize

Huwa siandiki vitu kwa hisia...
 
Kuna kamanda anaitwa KC
Yupo salasala huyu jamaa anauza magari bei chee sana.
 
Magari kali kwa Bei chee


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom