Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 16, 2024 #21 KANYEGELO said: sio kweli hizo huwa ni hisia tu jamaa wapo smart sana nimenunua kwao misimu karibia mitatu ya mwez wa 12 na gari zote zimenyooka acheni kutisha watu waje kwenu muwabamize Click to expand... Huwa siandiki vitu kwa hisia...
KANYEGELO said: sio kweli hizo huwa ni hisia tu jamaa wapo smart sana nimenunua kwao misimu karibia mitatu ya mwez wa 12 na gari zote zimenyooka acheni kutisha watu waje kwenu muwabamize Click to expand... Huwa siandiki vitu kwa hisia...
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,702 Reaction score 20,134 May 16, 2024 #22 Kuna kamanda anaitwa KC Yupo salasala huyu jamaa anauza magari bei chee sana.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 May 16, 2024 #23 Magari kali kwa Bei chee KAZI ni kipimo cha UTU