Kwa Diamond na Alikiba

ulisikia ile audio mtu kaigiliza sauti sauti ya wema eti akitoa hoja bungeni
nimetumiwa whatsap sijaskiliza ngoja nskilize...mh wetuuuu
Si anakutafutia ka chance humo humo idara ya elimu unaeza hata kua mkaguzi huezi jua ha ha ha "it's like...u know....u know..u know" pyeeeee sijui ticha wake wa English ni Madame B, sijui ni wewe na nahisi mwalimu hakumaliza topic
hahaaaaa ukaguzi hamna deal siku hizi best,wanaomba rushwa wakifika mashuleni hatarii tena she za mjini ndo tunakula maisha balaa..hatukaguliwi chochote...mkuu akiwapa mlungula wanasepa haoo

kile kiingereza jamani original kabisaa...kutoka academic..
mi sifundishi english mimi...
Aisee.., tumtakie fungo njema.

ataskia wengine makobe humu burdaniii...jadi yetu..!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu waliomba poo nini lol

Lazima wanajifanya ma lady wanaogopa kutolewa pangoni. Na wapitao nao wanaogopa chezea fans wa Diamond ikija kwa yanayomuhusu hakunaga.

Halafu matusi ndio wanayajua zaidi wakirudishiwa hao wanaanza kujifanya na uledi
 
Lazima wanajifanya ma lady wanaogopa kutolewa pangoni. Na wapitao nao wanaogopa chezea fans wa Diamond ikija kwa yanayomuhusu hakunaga.

Halafu matusi ndio wanayajua zaidi wakirudishiwa hao wanaanza kujifanya na uledi


hhhhhhhaaaaaaaaa mzurimie we noomaaa
 
hahaaaaa ukaguzi hamna deal siku hizi best,wanaomba rushwa wakifika mashuleni hatarii tena she za mjini ndo tunakula maisha balaa..hatukaguliwi chochote...
Mmmh nnachojua mie mjini ndo maeneo yao sie kwetu hapa mjini wanakuja kwa mwaka hata mara 3 mtu unakaa roho juu jamani hata unashindwa kuuza visheti kwa raha
 
Tuna watanzania kibao wako nchi mbalimbali kote duniani na hao ndio wanapiga kura balaaa juu ya dugu yao kupata tuzo hzo 3 sasa kama nyie mnao jiita cjui team wema,kidot,kiba. Mnakampeni ya kumwangusha chibu mmechelewa watanzania walioko nje hawazijui chuki zenu mtasanda tu na kujipendekeza kwenu kwa hao wanaija
 
Hhhheeeeew
 

Attachments

  • wp_ss_20150619_0001.png
    56.4 KB · Views: 230
  • wp_ss_20150619_0002.png
    55.5 KB · Views: 222
timu kuandika magazeti washafanya Yao Kimbley

Wengi wao wanaporomoshaaaaaaa kila kukicha mabaya bila aibu, sasa ushabiki umekuwa hivi usiriasi igekuwa kuonana nyuso? waache kumsema vibaya Chibu nae ni binadamu, kama wao hawawezi kuvumilia wakirudishiwa kwa kukwaza fans wake.

Toka uzi wako ule uondoshwe na kurudishwa kabata fulani kahumu kameniyoyoma
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…