Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
nimetumiwa whatsap sijaskiliza ngoja nskilize...mh wetuuuuulisikia ile audio mtu kaigiliza sauti sauti ya wema eti akitoa hoja bungeni
hahaaaaa ukaguzi hamna deal siku hizi best,wanaomba rushwa wakifika mashuleni hatarii tena she za mjini ndo tunakula maisha balaa..hatukaguliwi chochote...mkuu akiwapa mlungula wanasepa haooSi anakutafutia ka chance humo humo idara ya elimu unaeza hata kua mkaguzi huezi jua ha ha ha "it's like...u know....u know..u know" pyeeeee sijui ticha wake wa English ni Madame B, sijui ni wewe na nahisi mwalimu hakumaliza topic
kile kiingereza jamani original kabisaa...kutoka academic..
mi sifundishi english mimi...
Aisee.., tumtakie fungo njema.
ataskia wengine makobe humu burdaniii...jadi yetu..!!
Last edited by a moderator: