Kwa Diamond na Alikiba


hili jukwaa mburula wengi sana hata mtoto wa la pili anakushinda kuandika
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa Alikiba amekuwa na mchango mkubwa wa Diamond kuchukiwa na kuonekana mbaya!

Alikiba ndio aliye anza maneno kwenye media na cha kushangaza zaidi Alikiba alionekana kutotaka suluhu kabisa maana hili swala la kukosewa na Diamond kisa nyimbo lilikuwa lina malizwa kirafiki kabisa lakini sasa its too late maana sidhani kama itawezekana!

Alikiba ana nufaika sana na huu mvutano na Fella alisha sema kama kuna tatizo Alikiba aje waongee wamalize lakini sioni dalili!

Nina hakika Alikiba akisema watu waache kumgombanisha na kumtukana Diamond lazima wata acha kabisa!

Huu mzozo hauna manufaa yeyote kimziki...
 

mkuu unachoongea ukweli kabisa ukianzia na mafanikio makubwa kabisa aliyopata ya tuzo za kili, hii imetokana na mizozo hii, ukiangalia nyuma alikuwa msanii mzuri sawa lakini hakuwahi hata kupata tuzo tatu kwa usiku mmoja, wakati mwenzake mwaka 2010 kaanza tu mziki alipata tuzo 3 na kuweka karekodi kake na kuwa nominated kama upcoming artist tuzo za MTVMAMA, ye mpaka leo miaka zaidi ya kumi hawamjui kama upcorming artist...

Ila hii imeharibu saana utabaka kwa mashabiki.. Nakumbuka kunashow na spora alihojiwa mwaka jana spora aliniboa alionyesha sana kumfagilia diamond wakati anaehojiwa ni alikiba bila kujali upo upande gani lazima uone amekosea,,, lakini upande wa attitude ya alikiba nao ulikuwa na matatizo kidogo kwa maneno kama
•• ""mi sikuwepo kimuziki huwezi kunifananisha na diamond, afu muda mwingine kizuri kikikosekana kibaya kinaonekana kizuri pia""
•• "" mimi ni mwanamuziki wa muda mrefu huwezi kunifananisha na diamond mfansnishe na wakina abdukiba, ommydimpoz""
•• "" kwa sasa msanii mkali ni abdukiba""

afu na masuala ya kufuta kiti ni kujikweza sijawahi kumsikia diamond, ommy, barnaba akiongea maneno kama hayo kwamba yeye ndio mkali wa bongo flavour, na kujiita king sio shida ila kufuta kiti inamaana waliopo mpaka tanzania ipo kwenye ramani ya mziki duniani walikuwa wanacheza fichamafichama????????????

Na kama kweli king unaweza kwenda kuperform jukwaa moja na mwananchi ws kswaida we unalipwa 15m yeye 60m?? au ndio bei sikuhizi maharagwe 10000 afu nyama 500 hahahahaha

Ila ninaamini tu wengiwetu tunachuki na team si wasanii so njiapekee ni kumuattack mkubwa wao
 

kuna wapuuzi wachache walianza kumpoza kiba na maneno ya kichochezi, nae bila kujiongeza akaununua upuuzi wao, sasa wapuuzi wameongezeka mpaka kero sasa, kinachompoza kiba na sifa za kijinga kuwa yeye anasauti nzuri kuliko dai, anasahau kuwa kipaji au sauti nzuri bila kuifanyia kazi ni bureeee.
 
kiba na kijiba cha roho, ana roho ya korosho, kinachomuuma sana ni kuona yeye ndio aliyechangia dai kujulikana kwa kumaanisha yeye ndio aliyetoa idhini dai kurekodiwa nyimbo yake ya kwanza, sasa anajisahau yeye baada ya kumsadia mwenzake na kwa vile alijiona tayari on top analala usingizi, mwenzake dai toka anyanyue jembe hajawahi kuliweka chini, analima mpaka lami, kiba kuja kuzinduka usingizini ndio anashtuka khaaaa, huyu dogo aliyekuwa anakuja back stage kuomba hata apande stage na mimi tu ndio kashanipita,kila mtu anamsifia yeye tuu?? ndio akaanza zile oooh! dogo nimemtoa lakini haniheshimu. hapo ndipo uduwazi wa kiba ulipoanzia
 
Kuachwa kunauma sana. Ma ex watatu wa Diamond wana id humu zaidi ya 14 na wanashinda wakijibizana na kutukana watu. Yule mwenye doa la kungura usoni ambaye anapakuliwa na mshua kwa mtindo wa kifukuza mtu. Yupo mama lao ambaye sasa viungo vyake vya mwili ameweka vya China. Kuna yule kichwa maji yeye hapigi kelele maarufu kama kalamu yenye mfuto naye anashinda humu.

Hao wote team moja. Anyway, Kiba endelea na kampeni za chama chako cha CUF.
 


hhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwani wana bifu gani? Kweli mi shabiki andazi tu sijui chochote....ila pia nmependa hiyo technique ya kiba ya kufanyiwa women empowerment kiukweli imeboost sana kumuinua hapa wema pale kidoti mambo yanakua swadakta
 

Haaaaaaaaaaaaaaaa mkuu we ni noumerrr
 
Kwani wana bifu gani? Kweli mi shabiki andazi tu sijui chochote....ila pia nmependa hiyo technique ya kiba ya kufanyiwa women empowerment kiukweli imeboost sana kumuinua hapa wema pale kidoti mambo yanakua swadakta

Mimi ninachojua Diamond hana tatizo na Kiba ila Alikiba ana tatizo na Diamond tangu Diamond afute mistari ya kiba kwenye wimbo wa lala salama..
 
hii tanzania bahna, hakuna kufanya kazi ni majuuungu then kulalamika maisha magumu
 
Ukongwe katika game pasipo juhudi za kuonesha ukongwe wako huwezi fanikiwa na binadamu asie kubari juhudi za binadamu mwenzake huyo anaroho ya kisilani kamwe hawez fanikiwa,plz kiba kubali chibu yuko juu yako mbali na wewe kuwa kitambo kwenye game achana na kuwaomba hao wanamama wawe team yako kumchafua chibu remember women they are traitors in nature,watakuja kukuchafua hao ndo utajua wanawake ni watu wa aina gan,people let's keep voting for Chibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…