Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ha ha ha eti tanapa lolKuna mtu et kasema asijal atapostiwa na tanapa hhhhhaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha eti tanapa lolKuna mtu et kasema asijal atapostiwa na tanapa hhhhhaaa
Ahahahaa... wapo kwa id nyingine na wamepunguza mchecheto
Kiba anadada yake humu anaomba watu wawapigie kula wa nigeria kwa hiyo bifu amejaza kiba, Diamond ni mweupe rohoni.
Anamtikana sana Diamond, tuxo walipata bado halali sasa hao kweli wanamtakia mema D?
Si wanataka kupaa, si wanataka kuongoxa hawajui kuwa Mungu analipa hapa hapa duniani.
Mbali na kuwa majimarefu kaamua na kuzaa kabisa zari buana kwi kwi kwi....upande wa king sio vibaya akifanyiwa women empowerment wanawake wakiamua wanaweza!!
Ni ukweli ulio wazi kuwa Alikiba amekuwa na mchango mkubwa wa Diamond kuchukiwa na kuonekana mbaya!
Alikiba ndio aliye anza maneno kwenye media na cha kushangaza zaidi Alikiba alionekana kutotaka suluhu kabisa maana hili swala la kukosewa na Diamond kisa nyimbo lilikuwa lina malizwa kirafiki kabisa lakini sasa its too late maana sidhani kama itawezekana!
Alikiba ana nufaika sana na huu mvutano na Fella alisha sema kama kuna tatizo Alikiba aje waongee wamalize lakini sioni dalili!
Nina hakika Alikiba akisema watu waache kumgombanisha na kumtukana Diamond lazima wata acha kabisa!
Huu mzozo hauna manufaa yeyote kimziki...

hili jukwaa mburula wengi sana hata mtoto wa la pili anakushinda kuandika
Kuachwa kunauma sana. Ma ex watatu wa Diamond wana id humu zaidi ya 14 na wanashinda wakijibizana na kutukana watu. Yule mwenye doa la kungura usoni ambaye anapakuliwa na mshua kwa mtindo wa kifukuza mtu. Yupo mama lao ambaye sasa viungo vyake vya mwili ameweka vya China. Kuna yule kichwa maji yeye hapigi kelele maarufu kama kalamu yenye mfuto naye anashinda humu.
Hao wote team moja. Anyway, Kiba endelea na kampeni za chama chako cha CUF.
Kwani wana bifu gani? Kweli mi shabiki andazi tu sijui chochote....ila pia nmependa hiyo technique ya kiba ya kufanyiwa women empowerment kiukweli imeboost sana kumuinua hapa wema pale kidoti mambo yanakua swadaktaNi ukweli ulio wazi kuwa Alikiba amekuwa na mchango mkubwa wa Diamond kuchukiwa na kuonekana mbaya!
Alikiba ndio aliye anza maneno kwenye media na cha kushangaza zaidi Alikiba alionekana kutotaka suluhu kabisa maana hili swala la kukosewa na Diamond kisa nyimbo lilikuwa lina malizwa kirafiki kabisa lakini sasa its too late maana sidhani kama itawezekana!
Alikiba ana nufaika sana na huu mvutano na Fella alisha sema kama kuna tatizo Alikiba aje waongee wamalize lakini sioni dalili!
Nina hakika Alikiba akisema watu waache kumgombanisha na kumtukana Diamond lazima wata acha kabisa!
Huu mzozo hauna manufaa yeyote kimziki...
Kuachwa kunauma sana. Ma ex watatu wa Diamond wana id humu zaidi ya 14 na wanashinda wakijibizana na kutukana watu. Yule mwenye doa la kungura usoni ambaye anapakuliwa na mshua kwa mtindo wa kifukuza mtu. Yupo mama lao ambaye sasa viungo vyake vya mwili ameweka vya China. Kuna yule kichwa maji yeye hapigi kelele maarufu kama kalamu yenye mfuto naye anashinda humu.
Hao wote team moja. Anyway, Kiba endelea na kampeni za chama chako cha CUF.
Kwani wana bifu gani? Kweli mi shabiki andazi tu sijui chochote....ila pia nmependa hiyo technique ya kiba ya kufanyiwa women empowerment kiukweli imeboost sana kumuinua hapa wema pale kidoti mambo yanakua swadakta
Na geniveros na baa samira tehMode bring back our Kimbley pleasee