Kwa Diamond na Alikiba

Kwa Diamond na Alikiba

Mpende sana akipata ubunge anaweza akakuchomeka kwenye idara yoyote huezi jua ha ha ha mi nlikuaga shabiki wake zamani nkaona ananikanyagia waya tu ila sio kwamba namchukia

hhhhhhaaaaaaaaaa
 
Nilikuwa busy naandika gazeti kama kawa lakuwasema hao wanafiki wa nchi, duh narusha imefungwa.

Haya big up kwako na Dinazarde kwa kusimamia haki ya muimbaji Diamond Platnumz anayeongoza Tanzania maana ni wa kimataifa.

hhhhhaaaa narudi HIV Uzi umefungwaaa khaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mpende sana akipata ubunge anaweza akakuchomeka kwenye idara yoyote huezi jua ha ha ha mi nlikuaga shabiki wake zamani nkaona ananikanyagia waya tu ila sio kwamba namchukia

haahaaaa ualimu wangu watosha mi namtakia mafanikio tu...!!kile kisauti sasa ndo anachangia hoja..
mh.sepetu..naa..naa...u knoww...hao wakware mbona wamepata kisusioo....!!mana mule namo!
 
ulisikia ile audio mtu kaigiliza sauti sauti ya wema eti akitoa hoja bungeni
 
haahaaaa ualimu wangu watosha mi namtakia mafanikio tu...!!kile kisauti sasa ndo anachangia hoja..
mh.sepetu..naa..naa...u knoww...hao wakware mbona wamepata kisusioo....!!mana mule namo!
Si anakutafutia ka chance humo humo idara ya elimu unaeza hata kua mkaguzi huezi jua ha ha ha "it's like...u know....u know..u know" pyeeeee sijui ticha wake wa English ni Madame B, sijui ni wewe na nahisi mwalimu hakumaliza topic
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom