buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
Hamkawii kutuligea vijana wetu, hamna maana hata kidogo kwenye nyanja hioNi lini Yanga walisajili mchezaji wakasema mbaya?,Abdulrazaq Fiston alikua mtambo wa magoli yuko wapi,msimu ujao Yanga wakikosa ubingwa tutamuulize nani Ambundo au Injinia?
Na tukishawasajili huwa mnakuja kusajili kwetu, angalia Gadiel, Kakolanya na Morrison.Ni lini Yanga walisajili mchezaji wakasema mbaya?,Abdulrazaq Fiston alikua mtambo wa magoli yuko wapi,msimu ujao Yanga wakikosa ubingwa tutamuulize nani Ambundo au Injinia?
Hivi huko uto kuna mwenye akili timamu kweli?Hakika huyu jamaa ni mtu na nusu, msimu ujao itakuwa kipimo cha umri kwa baadhi ya mabeki wa timu zetu plus kisinda
Basis hapo mikia watanuna
Kwasababu ya kiburi chenu,mkileta kiburi tunachukua yeyote hapo Yanga alafu tunamuweka benchi achome mahindi.Simba ndo timu inayoweza kufanya chochote ndani ya klabu yoyote hapa Bongo.Simba timu ya nchi.Na tukishawasajili huwa mnakuja kusajili kwetu, angalia Gadiel, Kakolanya na Morrison.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mbumbumbu fc iyo michezo hawaiwez angalia walivyo chemka kwa Morrison.Kwasababu ya kiburi chenu,mkileta kiburi tunachukua yeyote hapo Yanga alafu tunamuweka benchi achome mahindi.Simba ndo timu inayoweza kufanya chochote ndani ya klabu yoyote hapa Bongo.Simba timu ya nchi.
imenibidi nickeke tu
mbumbu ktk ubora wakoHivi huko uto kuna mwenye akili timamu kweli?
Taahira katika ubora wakombumbu ktk ubora wako
Wewe unajua Lokosa alipo?Ni lini Yanga walisajili mchezaji wakasema mbaya?,Abdulrazaq Fiston alikua mtambo wa magoli yuko wapi,msimu ujao Yanga wakikosa ubingwa tutamuulize nani Ambundo au Injinia?
Hiyo imeishia msimu huu, "we are ready and loaded" hata Mo tunamsajili, kwani sh ngapi?Kwasababu ya kiburi chenu,mkileta kiburi tunachukua yeyote hapo Yanga alafu tunamuweka benchi achome mahindi.Simba ndo timu inayoweza kufanya chochote ndani ya klabu yoyote hapa Bongo.Simba timu ya nchi.