Kwa Dickson Ambundo yanga imepata msuva mpya

buhoro ksl

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
248
Reaction score
246
Hakika huyu jamaa ni mtu na nusu, msimu ujao itakuwa kipimo cha umri kwa baadhi ya mabeki wa timu zetu plus Kisinda

Basi hapo mikia watanuna
 
Ni lini Yanga walisajili mchezaji wakasema mbaya?,Abdulrazaq Fiston alikua mtambo wa magoli yuko wapi,msimu ujao Yanga wakikosa ubingwa tutamuulize nani Ambundo au Injinia?
 
Hamkawii kutuligea vijana wetu, hamna maana hata kidogo kwenye nyanja hio
 
Ni lini Yanga walisajili mchezaji wakasema mbaya?,Abdulrazaq Fiston alikua mtambo wa magoli yuko wapi,msimu ujao Yanga wakikosa ubingwa tutamuulize nani Ambundo au Injinia?
Na tukishawasajili huwa mnakuja kusajili kwetu, angalia Gadiel, Kakolanya na Morrison.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
utopolo hao

FB_IMG_1627364031318.jpg
 
Na tukishawasajili huwa mnakuja kusajili kwetu, angalia Gadiel, Kakolanya na Morrison.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwasababu ya kiburi chenu,mkileta kiburi tunachukua yeyote hapo Yanga alafu tunamuweka benchi achome mahindi.Simba ndo timu inayoweza kufanya chochote ndani ya klabu yoyote hapa Bongo.Simba timu ya nchi.
 
Mbumbumbu fc iyo michezo hawaiwez angalia walivyo chemka kwa Morrison.
 
Ni lini Yanga walisajili mchezaji wakasema mbaya?,Abdulrazaq Fiston alikua mtambo wa magoli yuko wapi,msimu ujao Yanga wakikosa ubingwa tutamuulize nani Ambundo au Injinia?
Wewe unajua Lokosa alipo?
 
Kwasababu ya kiburi chenu,mkileta kiburi tunachukua yeyote hapo Yanga alafu tunamuweka benchi achome mahindi.Simba ndo timu inayoweza kufanya chochote ndani ya klabu yoyote hapa Bongo.Simba timu ya nchi.
Hiyo imeishia msimu huu, "we are ready and loaded" hata Mo tunamsajili, kwani sh ngapi?

Back
Top Bottom