Kwa dini ya kiislamu usafi kwa mwanadamu umezingatiwa sana lakini unapaswa uwe na imani ya dini

Kwa dini ya kiislamu usafi kwa mwanadamu umezingatiwa sana lakini unapaswa uwe na imani ya dini

Sasa mkuu usafi wa kujizuia kuzini huna Ila upo busy kutukana wale unaodhani hawana usafi wa mwili. Mwisho wa siku wote ni wachafu hivyo, ingependeza kama ungeanza kupambana na uchafu wako kwanza kabla ya kuwakosoa wengine
Unaendaje kusimama mbele ya Mungu ukiwa mchafu, una janaba, mikojo n.k??

Mtume Muhammad (pbuh) amesema " Twahara ni nusu ya imani"

Uislam unahimiza waumini wajitakase kuanzia mavazi yao,miili na mpaka nyoyo zao.

Pia Mtume alisema kuwa "Hakika ya ALLAH ni mzuri na anapenda uzuri"

Leo hii ukiambiwa una mualiko wa kwenda kuonana na rais wa nchi basi bila ya shaka utaenda kutafuta Suti kali ,viatu vipya utavupeleka kwa shoe shine, utatafuta shati safi na jipya na manukato mazuri ili usiende kutia aibu mbele ya mtawala. Vp pale ambapo unakwenda kusimama mbele ya aliyeiumba hii dunia na kila kitu? Utakwenda kusimama hali ya kuwa una majanaba, hujapiga mswaki,hujaoga ,unanuka na mavazi yako machafu??
 
Ndio maana tumefunga CCTV Muhimbili,
hawa wagalatia wanaingia kujisaidia na mifuko ya cement, vyoo vinaziba, mikono hawaoshi halafu anataka akusalimei kwa mkono au umkaribishe akalie sofa zako nyumbani, mimi huwa natoka nje ili tuongee kwa kusimama, au nampa kiti cha mbao, baadae kinawekwa karantini na kusafishwa na bleach.
 
Wewe ni lay person, hukwenda shule unaongozwa na imani za dini. Mwili una mechanisms zake za kuregulate kila kitu. Umeandika kama ambaye hujapitia shule.

Nawaona waislamu anatembea na maji kwenye chupa ya lita moja, akikojoa anaosha dhakari hata bila sabuni, huo ndio usafi?Let ue be scientific, Kukojoa mara moja kunaleta magonjwa gani? chemical Contents za mkojo ni zipi? zina uchafu gani/infectious agents zipi kama huna acquired venereal diseases and the like?

Unaleta UNSCIENTIFIC REASONING!

Risk factors for UTI​

UTIs are common in women. Many women experience more than one UTI during their lifetimes.

Risk factors for UTIs that are specific to women include:

  • Female anatomy. Women have a shorter urethra than men do. As a result, there's less distance for bacteria to travel to reach the bladder.
  • Sexual activity. Being sexually active tends to lead to more UTIs. Having a new sexual partner also increases risk.
  • Certain types of birth control. Using diaphragms for birth control may increase the risk of UTIs. Using spermicidal agents also can increase risk.
  • Menopause. After menopause, a decline in circulating estrogen causes changes in the urinary tract. The changes can increase the risk of UTIs.
Other risk factors for UTIs include:

  • Urinary tract problems. Babies born with problems with their urinary tracts may have trouble urinating. Urine can back up in the urethra, which can cause UTIs.
  • Blockages in the urinary tract. Kidney stones or an enlarged prostate can trap urine in the bladder. As a result, risk of UTIs is higher.
  • A suppressed immune system. Diabetes and other diseases can impair the immune system — the body's defense against germs. This can increase the risk of UTIs.
  • Catheter use. People who can't urinate on their own often must use a tube, called a catheter, to urinate. Using a catheter increases the risk of UTIs. Catheters may be used by people who are in the hospital. They may also be used by people who have neurological problems that make it difficult to control urination or who are paralyzed.
  • A recent urinary procedure. Urinary surgery or an exam of your urinary tract that involves medical instruments can both increase the risk of developing a UTI.
Acha porojo maji ni way better than toilet paper hata hao wazungu wameanza kutumia now wameona scientifically kuna faida soma hapo acha kudanganya watu
 
Attachments

  • Screenshot_20240624-191633_Chrome.jpg
    Screenshot_20240624-191633_Chrome.jpg
    398.5 KB · Views: 1
Kutoka kwa Mama wa waumini ‘Aaishah (Radhwiya Allaahu ‘anhaa) kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Mambo kumi ni katika fitwrah (maumbile ya asli ya Kiislam): “Kupunguza masharubu, kufuga ndevu, kupiga mswaki, kupitisha maji puani (kusafisha), kukata kucha, kusafisha penyo za vidole, kung’ofoa (kunyoa) nywele za kwapa, kunyoa nywele za sehemu za siri, na kujisafisha kwa maji baada ya kujisaidia na msimuliaji akasema kasahau la kumi, lakini inaweza kuwa ni kusafisha mdomo (kusukutua)” [Muslim na Abuu Daawuwd].
 
Dogo Uislam ulikuja duniani mwaka 650 uliikuta Dunia ilishsataarabika
Uislam ulikuja kukopy kuedit na kupaste vya watangulizi

Usivimbe bichwa dogo na kadini Kako wanaotawala hii Dunia kwa maarifa siyo waislamu
Mbona unachekesha ,

Uislam ulikuwepo toka dunia hii inaumbwa.

Ulichotakiwa kusema ni kuwa Mtume wa Mwisho, Muhammad (sala na amani iwe juu yake) alikuja miaka 600 baada ya kuondoka kwa Masihi Isa mwana wa maryam (amani iwe kwake).

Mitume yote ya wana wa israel ilikuwa ikifuata dini ya Ibrahim ambayo si nyingine bali ni Uislam.

Mara baada ya kuondoka kwa masihi mwana wa maryam.Uislam uliendelea kupigwa sana vita na kupelekea kutaka kutoweka kabisa hapa ulimwenguni ndipo Mungu alipomleta Mtume wa Mwisho , Muhammad ili aje auhuishe tena Uislam.

Ukitaka kuamini soma aya hii ya Quran uone Mungu anasemaje.

Quran 3:2-4

"Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele.Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili.Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Quran/ Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa."
 
Sasa mleta uzi siku hizi kwenye vyoo vya kulipia kuna sinki za kukojolea wanaume,na wapo wanakojoa kwenye sinki huku ana kopo la maji akimaliza anasafisha kule mbele ili matone ya mkojo yasiishie kwenye boxer,ni kweli mkojo ni najisi. Ila swali langu,kukojoa kwenye sinki za kukojolea lakini umesafisha kichwa kule mbele hapo si unakuwa hauna najisi? Au kokojoa kwenye zile sinki haifai?
Kukojoa kwenye zile sinki kuna mambo mawili,kwanza chembe chembe za mkojo zitakurukia kwenye nguo hapo nguo zitakuwa sio tohara,,na pili huwezi kumaliza mkojo wote hivyo kuna vitone vya mkojo vitabakia

Wanawake wao baada ya kujisaidia akikaa au kusubiri sekunde kadhaa mkojo unakata lkn kwa mwanaume mkojo unabakia kiasi kichache kwe mrija hivyo anatakiwa apate mda kidogo wa kuhakikisha mkojo wote umekata,kwa kuchuchumaa una press kiganja chako chini ya makende kuja kwenye uume kwahiyo kama kuna vitone vya mkojo vinatoka,au unajikohoza kidogo,,angalia ni njia ipi inafanya kazi kwako
 
Unaendaje kusimama mbele ya Mungu ukiwa mchafu, una janaba, mikojo n.k??

Mtume Muhammad (pbuh) amesema " Twahara ni nusu ya imani"

Uislam unahimiza waumini wajitakase kuanzia mavazi yao,miili na mpaka nyoyo zao.

Pia Mtume alisema kuwa "Hakika ya ALLAH ni mzuri na anapenda uzuri"

Leo hii ukiambiwa una mualiko wa kwenda kuonana na rais wa nchi basi bila ya shaka utaenda kutafuta Suti kali ,viatu vipya utavupeleka kwa shoe shine, utatafuta shati safi na jipya na manukato mazuri ili usiende kutia aibu mbele ya mtawala. Vp pale ambapo unakwenda kusimama mbele ya aliyeiumba hii dunia na kila kitu? Utakwenda kusimama hali ya kuwa una majanaba, hujapiga mswaki,hujaoga ,unanuka na mavazi yako machafu??
Lakini pamoja na kuwa msafi wa mwili, inakupasa uwe msafi wa moyo na roho pia.

Sio unavaa kanzu safii Ila ukitoka msikitini unaanza kutengeneza mazingira ya kuzini
 
Lakini pamoja na kuwa msafi wa mwili, inakupasa uwe msafi wa moyo na roho pia.

Sio unavaa kanzu safii Ila ukitoka msikitini unaanza kutengeneza mazingira ya kuzini
Yaani natamani watu wangeisoma Quran bila ya bias . Wangeona jinsi gani Mungu anahimiza usafi wa nyoyo za waja wake.
 
Just imagine mtu anaenda chooni kukojoa halafu hajisafishi tupu yake ya mbele unafikiri nini kitatokea? Hapo lazima atapata ma toilet disease tu kama UTI, Cystis, Urethritis na mengine neyo na pia atanuka nguo zake na mwili wake.

Just imagine mtu hususani wanawake wanaenda chooni wanakojoa Bila kufuata utaratibu, wanakojoa kojoa tu halafu akimaliza hawajisafishi wengi wanatoa harufu kwenye tupu zake. Niliwahi kukutana kimwili na binti mmoja aisee baada kufanya naye mpenzi nilihisi kinyaa na kutaka kuzimia baada ya kusikia halafu ya mkojo kwenye tupu yake ya mbele nilijuta sana, na pia niliwahi kukutana na binti mmoja anayefuata madili ya kiislamu lakini hana imani nilijuta aisee.

Mwanaume wakati wa kukojoa unapaswa uchuchumae chini uvue nguo na ukojoe vizuri then usafishe tupu yako, ila watu wengine hawafanyi hivi hali inayopelekea kupata magonjwa mengi ya toilet disease.

Utakuta mtu mtanashati lakini unasumbuliwa na ugonjwa wa UTI, hamuoni aibu ukiumwa matoilet disease kama UTI? Wewe ni mchafu tu.

Kwa suala la usafi dini ya kiislamu nawapa 👊👊👊👊 sio kama imani nyingine. Sasa sijui kama imani nyingine hawashauri hivi au ndio ukaidi wa waumini wao!
Kumbe sio ibada ni usafi tu
 
Mafundisho ya ukristo yamewapita mbali mafundisho ya uislam

Ukristo unaamin usafi wa rohoni
Waislamu wao wanahubiri usafi wa nguo na mwili ambao kimsingi haiuwezi kuwa kama wenzao

Logic unausafisha mwili alafu huo mwili ukifa unaoza unapotea

Alafu roho ndo inaenda kuhukumiwaa bila ushahidi
We unataka kusema waislamu hawakatazi madhambi Kama zinaa,wizi,ulevi,kamari, na kufanya mema,
Em angalia uislamu unavyo amrisha mema kuhusiana na maskini na mafakiri ,kuwasaidia zmekuja Aya na sheria chungu nzima za kuwamrisha mema mfano kwa mayatima, maskini ,mafukara, wazazi wawili n.k.
Uislamu hakuacha kitu na huwa Haina update toka enzi hzo lakni bdo una-fit katika eneo lolote na Zama yoyote,
Lakni nynyi kwa ku-update hamjambo.
 
Shika kubwa sana na waislam ni kudhani kuwa wanacho amini ni dini, kumbe ni desturi za waarabu. Wee tangu lini mwanaume akojoe akiwa amechuchuma, kama siyo ujinga huo wanaofundisha msikitini ni nini?
Mambo mengine magumu sana mkuu, kila mtu abaki na anachokiamini
 
Ndio maana tumefunga CCTV Muhimbili,
hawa wagalatia wanaingia kujisaidia na mifuko ya cement, vyoo vinaziba, mikono hawaoshi halafu anataka akusalimei kwa mkono au umkaribishe akalie sofa zako nyumbani, mimi huwa natoka nje ili tuongee kwa kusimama, au nampa kiti cha mbao, baadae kinawekwa karantini na kusafishwa na bleach.

Hivyo ndivyo waarabu wanavyowaona weusi. Kweli wewe umeweza vizuri kuiga utamaduni huu wa waarabu
 
Kukojoa kwenye zile sinki kuna mambo mawili,kwanza chembe chembe za mkojo zitakurukia kwenye nguo hapo nguo zitakuwa sio tohara,,na pili huwezi kumaliza mkojo wote hivyo kuna vitone vya mkojo vitabakia

Wanawake wao baada ya kujisaidia akikaa au kusubiri sekunde kadhaa mkojo unakata lkn kwa mwanaume mkojo unabakia kiasi kichache kwe mrija hivyo anatakiwa apate mda kidogo wa kuhakikisha mkojo wote umekata,kwa kuchuchumaa una press kiganja chako chini ya makende kuja kwenye uume kwahiyo kama kuna vitone vya mkojo vinatoka,au unajikohoza kidogo,,angalia ni njia ipi inafanya kazi kwako

Hii siyo sahihi.
Mkojo haubaki kwenye kibofu, bali unabaki kwenye mrija wa uume. Ndiyo maana inabidi u ring the bell 🔔.
 
Mafundisho ya ukristo yamewapita mbali mafundisho ya uislam

Ukristo unaamin usafi wa rohoni
Waislamu wao wanahubiri usafi wa nguo na mwili ambao kimsingi haiuwezi kuwa kama wenzao

Logic unausafisha mwili alafu huo mwili ukifa unaoza unapotea

Alafu roho ndo inaenda kuhukumiwaa bila ushahidi
Ni kweli ukristo unaamini usafi wa rohoni tu na ndio ukawakuta mapadri mashoga wanasamehe dhambi Za watu wanaoungama pia ukawakuta Watakatifu wengine Saints walikuwa mashoga
 
Just imagine mtu anaenda chooni kukojoa halafu hajisafishi tupu yake ya mbele unafikiri nini kitatokea? Hapo lazima atapata ma toilet disease tu kama UTI, Cystis, Urethritis na mengine neyo na pia atanuka nguo zake na mwili wake.

Just imagine mtu hususani wanawake wanaenda chooni wanakojoa Bila kufuata utaratibu, wanakojoa kojoa tu halafu akimaliza hawajisafishi wengi wanatoa harufu kwenye tupu zake. Niliwahi kukutana kimwili na binti mmoja aisee baada kufanya naye mpenzi nilihisi kinyaa na kutaka kuzimia baada ya kusikia halafu ya mkojo kwenye tupu yake ya mbele nilijuta sana, na pia niliwahi kukutana na binti mmoja anayefuata madili ya kiislamu lakini hana imani nilijuta aisee.

Mwanaume wakati wa kukojoa unapaswa uchuchumae chini uvue nguo na ukojoe vizuri then usafishe tupu yako, ila watu wengine hawafanyi hivi hali inayopelekea kupata magonjwa mengi ya toilet disease.

Utakuta mtu mtanashati lakini unasumbuliwa na ugonjwa wa UTI, hamuoni aibu ukiumwa matoilet disease kama UTI? Wewe ni mchafu tu.

Kwa suala la usafi dini ya kiislamu nawapa 👊👊👊👊 sio kama imani nyingine. Sasa sijui kama imani nyingine hawashauri hivi au ndio ukaidi wa waumini wao!
Unafiki mtupu. Ni kama makaburi yaliyopakwa chokaa na kung'ara sana ila kwa ndani ni mifupa mitupu.
 
Back
Top Bottom