Kwa dini ya kiislamu usafi kwa mwanadamu umezingatiwa sana lakini unapaswa uwe na imani ya dini

Sasa mkuu usafi wa kujizuia kuzini huna Ila upo busy kutukana wale unaodhani hawana usafi wa mwili. Mwisho wa siku wote ni wachafu hivyo, ingependeza kama ungeanza kupambana na uchafu wako kwanza kabla ya kuwakosoa wengine
Unaendaje kusimama mbele ya Mungu ukiwa mchafu, una janaba, mikojo n.k??

Mtume Muhammad (pbuh) amesema " Twahara ni nusu ya imani"

Uislam unahimiza waumini wajitakase kuanzia mavazi yao,miili na mpaka nyoyo zao.

Pia Mtume alisema kuwa "Hakika ya ALLAH ni mzuri na anapenda uzuri"

Leo hii ukiambiwa una mualiko wa kwenda kuonana na rais wa nchi basi bila ya shaka utaenda kutafuta Suti kali ,viatu vipya utavupeleka kwa shoe shine, utatafuta shati safi na jipya na manukato mazuri ili usiende kutia aibu mbele ya mtawala. Vp pale ambapo unakwenda kusimama mbele ya aliyeiumba hii dunia na kila kitu? Utakwenda kusimama hali ya kuwa una majanaba, hujapiga mswaki,hujaoga ,unanuka na mavazi yako machafu??
 
Ndio maana tumefunga CCTV Muhimbili,
hawa wagalatia wanaingia kujisaidia na mifuko ya cement, vyoo vinaziba, mikono hawaoshi halafu anataka akusalimei kwa mkono au umkaribishe akalie sofa zako nyumbani, mimi huwa natoka nje ili tuongee kwa kusimama, au nampa kiti cha mbao, baadae kinawekwa karantini na kusafishwa na bleach.
 
Acha porojo maji ni way better than toilet paper hata hao wazungu wameanza kutumia now wameona scientifically kuna faida soma hapo acha kudanganya watu
 

Attachments

  • Screenshot_20240624-191633_Chrome.jpg
    398.5 KB · Views: 1
Kutoka kwa Mama wa waumini β€˜Aaishah (Radhwiya Allaahu β€˜anhaa) kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu β€˜alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: β€œMambo kumi ni katika fitwrah (maumbile ya asli ya Kiislam): β€œKupunguza masharubu, kufuga ndevu, kupiga mswaki, kupitisha maji puani (kusafisha), kukata kucha, kusafisha penyo za vidole, kung’ofoa (kunyoa) nywele za kwapa, kunyoa nywele za sehemu za siri, na kujisafisha kwa maji baada ya kujisaidia na msimuliaji akasema kasahau la kumi, lakini inaweza kuwa ni kusafisha mdomo (kusukutua)” [Muslim na Abuu Daawuwd].
 
Dogo Uislam ulikuja duniani mwaka 650 uliikuta Dunia ilishsataarabika
Uislam ulikuja kukopy kuedit na kupaste vya watangulizi

Usivimbe bichwa dogo na kadini Kako wanaotawala hii Dunia kwa maarifa siyo waislamu
Mbona unachekesha ,

Uislam ulikuwepo toka dunia hii inaumbwa.

Ulichotakiwa kusema ni kuwa Mtume wa Mwisho, Muhammad (sala na amani iwe juu yake) alikuja miaka 600 baada ya kuondoka kwa Masihi Isa mwana wa maryam (amani iwe kwake).

Mitume yote ya wana wa israel ilikuwa ikifuata dini ya Ibrahim ambayo si nyingine bali ni Uislam.

Mara baada ya kuondoka kwa masihi mwana wa maryam.Uislam uliendelea kupigwa sana vita na kupelekea kutaka kutoweka kabisa hapa ulimwenguni ndipo Mungu alipomleta Mtume wa Mwisho , Muhammad ili aje auhuishe tena Uislam.

Ukitaka kuamini soma aya hii ya Quran uone Mungu anasemaje.

Quran 3:2-4

"Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele.Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili.Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Quran/ Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa."
 
Kukojoa kwenye zile sinki kuna mambo mawili,kwanza chembe chembe za mkojo zitakurukia kwenye nguo hapo nguo zitakuwa sio tohara,,na pili huwezi kumaliza mkojo wote hivyo kuna vitone vya mkojo vitabakia

Wanawake wao baada ya kujisaidia akikaa au kusubiri sekunde kadhaa mkojo unakata lkn kwa mwanaume mkojo unabakia kiasi kichache kwe mrija hivyo anatakiwa apate mda kidogo wa kuhakikisha mkojo wote umekata,kwa kuchuchumaa una press kiganja chako chini ya makende kuja kwenye uume kwahiyo kama kuna vitone vya mkojo vinatoka,au unajikohoza kidogo,,angalia ni njia ipi inafanya kazi kwako
 
Lakini pamoja na kuwa msafi wa mwili, inakupasa uwe msafi wa moyo na roho pia.

Sio unavaa kanzu safii Ila ukitoka msikitini unaanza kutengeneza mazingira ya kuzini
 
Lakini pamoja na kuwa msafi wa mwili, inakupasa uwe msafi wa moyo na roho pia.

Sio unavaa kanzu safii Ila ukitoka msikitini unaanza kutengeneza mazingira ya kuzini
Yaani natamani watu wangeisoma Quran bila ya bias . Wangeona jinsi gani Mungu anahimiza usafi wa nyoyo za waja wake.
 
Kumbe sio ibada ni usafi tu
 
We unataka kusema waislamu hawakatazi madhambi Kama zinaa,wizi,ulevi,kamari, na kufanya mema,
Em angalia uislamu unavyo amrisha mema kuhusiana na maskini na mafakiri ,kuwasaidia zmekuja Aya na sheria chungu nzima za kuwamrisha mema mfano kwa mayatima, maskini ,mafukara, wazazi wawili n.k.
Uislamu hakuacha kitu na huwa Haina update toka enzi hzo lakni bdo una-fit katika eneo lolote na Zama yoyote,
Lakni nynyi kwa ku-update hamjambo.
 
Shika kubwa sana na waislam ni kudhani kuwa wanacho amini ni dini, kumbe ni desturi za waarabu. Wee tangu lini mwanaume akojoe akiwa amechuchuma, kama siyo ujinga huo wanaofundisha msikitini ni nini?
Mambo mengine magumu sana mkuu, kila mtu abaki na anachokiamini
 

Hivyo ndivyo waarabu wanavyowaona weusi. Kweli wewe umeweza vizuri kuiga utamaduni huu wa waarabu
 

Hii siyo sahihi.
Mkojo haubaki kwenye kibofu, bali unabaki kwenye mrija wa uume. Ndiyo maana inabidi u ring the bell πŸ””.
 
Ni kweli ukristo unaamini usafi wa rohoni tu na ndio ukawakuta mapadri mashoga wanasamehe dhambi Za watu wanaoungama pia ukawakuta Watakatifu wengine Saints walikuwa mashoga
 
Unafiki mtupu. Ni kama makaburi yaliyopakwa chokaa na kung'ara sana ila kwa ndani ni mifupa mitupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…