Kwa dizaini hii ya marefa Akina Kayoko Safari ipo

macro

Senior Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
115
Reaction score
122
Huyu dogo achoshangaza , anafokea watu wanaolipwa pesa mingi Sana kwa mwezi anahic wako sawa kumbe ni mbingu na ardhi.

Kikubwa huyu dogo hajui chochote kwenye hii career ya urefarii ulishaona wapi refa Makini akagawa kadi kila tukio, halafu sehemu ya kutoa kadi hatoi

Mm ningekuwa mchezaji ningetoa mhanga mechi za kufungiwa na mshahara wangu wa mwezi mmoja , namtega ili anifokee then Tia ngumi za kutosha ndan ya dakika 2 awe amebadilika rangi.

Imagine angekuwa nafoka enzi za akina Haruna Moshi boban au athuman iddi chuji huyu dogo angekuwa alishashika adabu

Tff wapeni semina marefa wenu mara kwa Mara wanatia aibu Sana

Kayoko Kama upo humu badilika acha hiyo kitu inakuondolea credibility Sana, kingine usifikiri wewe ni refa mzuri mno , HAMNA KITU ni vile tu una connection.
 
Umeiona Mechi ya Singida na Ihefu? Bora akachezeshe rede.
 
Back
Top Bottom