Kwanza Maradona Ni mfupi, swala la kutumia kichwa linaweza kua changamoto.
Pia Maradona ni midfielder na Pele Ni foward kama Ronaldo de Lima.
Kwenye uchezaji wa Maradona. Alikua mtu peke yake anayeibeba Timu, anayechezesha Timu, anahamasisha na kufunga.
Wakati Pele alikua anatembelea kivuli cha majina makubwa ya wachezaji wenzake wenye uwezo uwanjani.
kama akina
Garincha ambaye mwaka 1962 ndiye(Garincha) alikua kinara peke yake. Pele hakucheza kabisa,
Vava aliefunga goli 3 kwenye fainali mbili za kombe la Dunia,
Pia Didi aliechukua kiatu cha Dhahabu mwaka 1958
Pia kwenye timu ya Brasil wako wengine walikua wanapiga soka hata kama Pele asingekuwepo walikuwemo wakina Gérson, Jairzinho, Gilmar, Tostão, Zito, Bellini na Zagallo.
Hapa chini ni Ubingwa aliochukua Maradona na Timu ya Napoli ngazi ya club.
Serie A : 1986–87, 1989–90
Supercoppa Italiana : 1990
Copa Italia : 1961–62, 1975–76, 1986–87
UEFA Cup : 1988–89
Maradona kuondoka Napoli walishinda kwenye 2011.
Tukija kwenye idadi kubwa ya Magoli world cup unamuachaje Gerd Muller ukamuweka Pele enzi hizo?
Umetaja madawa ya kuongeza Nguvu. Ni sawa,.lakini tambua kua.Wakati zama za Maradona vipimo vilikua vinatumika kuthibitisha . lakini Hakukua na hivyo vipimo vya kuwapima na kuthibitisha wachezaji wanaotumia madawa zama za Pele.
Pia Huko Brasil kwenyewe walishindanisha mwanaspoti bora kuwahi kutokea alishinda muendesha magari ya formula One anaitwa Ayrton Senna. Yaani bado hali inaonyesha hata uko Brazil hawamkubali Pele wao.
Maradona is always the best in.the world.
View attachment 686646View attachment 686647View attachment 686648View attachment 686649
Pichani, Pele akiwa na fisadi Blatter.