mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kumbe hakuna jipya chini ya jua ambavyo hatumjui jamaa huyu ,na vizazi vijavyo havitawajua kina Ronaldinho Gaucho, mbaya Zaid documtary hizo hazikutunzwa vema
Pele hamsogelei Diego Aemando Maradona. Historia inaonyesha Pele na Maradona
Wamewahi kushindanishwa
1. Pele Akashika namba Mbilidhidi ya Maaradona aliekua namba moja.
2. Pia Pele amewahi kushindanishwa na mchezaji nyumbani kwake Brazil akapata nafasi ya Pili.
Kitendo hiki cha Yeye kua namba mbili kimemfanya Diego Maradona kumsema vibaya Pele kua yeye hastahili namba moja.
Hata hivyo pele amekua akinufaika na nidhamu kwani Maradona pamoja na ubora wake amekua mtumiaji wa madawa ya kulevya mara kadhaa.
Hivyo basi Kwakua Pele amekua akishika namba mbili kila wakati ikapelekea wapewe uzani sawa Diego Maradona ikiwa kama shinikizo ili ku balance mambo.
Jambo hili limekua likimuudhi Maradona anayeamini yeye ni Bora kuliko Pele. Na kupelekea uhusiano wake na FiFa kua Mbaya.
Mbali na FiFa kuonekana ikimkumbatia Pele pia FiFa imekua shirika la kinyonyaji na kifisadi mbele ya macho ya Maradona. Tuombe Mungu kama matatizo haya yaliishia na Sepp Blatter.
Maradona ameshawahi kua kocha wa timu ya taifa lake Argentina. Pele hajawahi kua Kocha.
Kitu kimoja alichokofanya Pele ni kuwasifia waingereza na kuwatabiria ubingwa. Kitendo hiki kimemfanya apendwe na FiFA na Waingereza. Hata kujaa kwenye headlines duniani.
Pamoja na unafiki huu wa Pele bado Uingereza ambayo ni timu yenye jina kubwa imekua ikifanya Vibaya sana kwenye michuano mikubwa.
Wakati huohuo imemfanya Pele kuonekana kua hajui kubashiri matokeo kwakua amekua Bingwa wa kufeli.
Pele haachi kuipamba uingereza ili tu iendelee kumpenda na kumpamba duniani.
Huyu ndiye Edson Arantes des Nacimentos "Pele".
Kwangu atabaki kua mchezaji bora asiye na sifa ya kulinganishwa na wachezaji kama Maradona. Messi, Ronaldo, Ronaldino, wala Cristiano wachezaji wa leo.
Heavy boots, heavy football, shocking pitches, and players that actually tried to hurt you, not just tackle.Kipindi hio hakuna offside
Ukiona hadi wazungu na ubaguzi wao lakini wanakwambia hakuna kama Pele,basi jua hakuwa mtu wa kawaida[emoji123][emoji174]
Na haya ni maoni yako....Tumshukuru Mungu.Kwangu atabaki kua mchezaji bora asiye na sifa ya kulinganishwa na wachezaji kama Maradona. Messi, Ronaldo, Ronaldino, wala Cristiano wachezaji wa leo.
Ovyo kabisa ana unazi na ujuaji wa kijinga sanaDocumentary iliyotolewa na FIFA inaonesha kwamba Pele mambo yote aliyofanya Ronaldo de Lima el Phenomenon kayafanya miaka 50 iliyopita, kweli inamaliza ubishi wote wa wanazi kina SHAFY DAUDA,
Mambo alifanya Lionel Messi uwanjani yamefanywa na Pele miaka ya zamani sana na mengine Messi hajayafanya
Mambo aliyofanya Zinedine Zidane Uwanjani yote wamecopy Kwa Pele ,
Mambo aliyofanya Cristiano Ronaldo yote kayafanya Pele miaka 50 iliyopita na mengine Ronaldo hajayafanya mpaka sasa,
FIFA wame apologize Kwa kuchelewa kurelease baadhi ya video pia na ubora wake haukuwa mzuri lakin wamefanya kuonesha kila anachofanya mchezaji wa sasa na waliopita wanalinganisha na matukio ya Pele uwanjani,
Video imeeleza kila kitu Kwa undani kabisa
Hapo utaona Luis figo, Ronaldo original, Roberto Carlos, Zidane, Fredrik Ljumberg , Messi n Ronaldinho matukio na mambo walofanya wanaonesha walipoyacopy Kwa pele,
Pitia video hii Kwa umakini,
Ukimaliza umpe salute Pele
Commentator mmoja toka Uingereza anasema
“Heavy boots, heavy football, shocking pitches, and players that actually tried to hurt you, not just tackle.
Those under 30 have no idea what it took to be a great. They just look at todays stars, playing touch football, and use the word 'great' or 'greatest' far too easy.”
Pele is Greatest