Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

Hii sasa sio nzuri kwa ustawi wa jamii. Sababu vinasaba huathiri sana malezi na makuzi ya watoto
 
Bwana ROBERT HERIEL naomba majawabu juu ya maswala yangu haya.
 
Kama ni mwanaume nina mashaka na wewe, sio riziki na huna nguvu za kiume. Swali lako la kitoto mno.
Sio kila unachoamini wewe ndio sahihi hada dawa inaweza kukufaa ww isimfae mwingine kwamaradhi yaaina moja umesema mengi yapo yakweli ila unaposema et mtoto wakumzaa ndowako tunaishi kwenye jamii hali ni tofaut usemacho kuna mengi yana ukweli ila yanamapana yake
 
Kuna jamaa wangu alibambikiwa mtoto huko mafia DNA ikamuokoa.
Ni hivi tulikuwa Kwenye project flani kisiwa cha mafia for 3 yrs.
Jamaa yangu alikuwa na mke na watoto2 mapacha wapo dar na mke ambaye alikuwa ana maduka Kariakoo.
Tulikuwa tunaweza kaa mafia miezi hata 3 hatuji dar mi vile vindege vilikuwa vinaniogopesha Sana.
Sasa kule jamaa akapata demu kashombeshombe hivi ,mcharuko hatari.
Kupigapiga akaambiwa amempa mimba .
Jamaa akaona isiwe tabu ngoja nisikilizie kitoto cha kishombeshombe.
Kweli miezi ikakatika kikazaliwa kitoto cha kishombeshombe.
Jamaa akawa kila mwezi anampatia yule binti laki 3 za matumizi yake na mtoto.
Yule binti alikuwa anasumbua Kwenye fedha anaweza kupewa laki Tatu ndani ya wiki anasema imekwisha.
Yule binti sijui alipata wapi Namba ya simu ya mke wa mshakji hapo ndipo shida ziliongezeka ,jamaa akijifanya mkali anaambiwa nitamwabia mke wako umezaa na Mimi,jamaa anakuwa mpole.
Kuna siku tupo ufukweni na mshaji wetu daktari alikuja kikazi binti akaja na mtoto huko beach anarap anataka hela wakati jana alipewa laki mbele yangu, yaani ilikuwa kero , jamaa akampa hela nyingine tena elfu 50.
Yule mshakaji daktari akamuuliza unahakika kabisa huyu mtoto ni wako?
Jamaa akasema sina uhakika manake katoto kenyewe kashombeshombe mama yake mtupu.
Yule daktari akasema anahisi huyo mtoto sio wa jamaa akashauri jamaa amkomvisi yule binti aliyezaa naye wakapime DNA.
Kabinti kwanza kalitaka kukataa ila baadae akakubali.
Basi ukafanyika utaratibu wakaenda Mahakamani wakaapa then wakaenda kwa daktari wa wilaya akawachukua sampo, jamaa alisema walichukua nywele na tishu za ulimi za mtoto na wazazi zikawekwa Kwenye test tube tofauti jamaa akalipia laki 3 zen zikatumwa kwa mkemia mkuu dsm
Baada ya mwezi majibu yakaja wakaitwa wote wakasomewa Matokeo.
Matokeo yakaonyesha kwamba jamaa sio baba wa mtoto.ila mama ni mama wa mtoto.
Yule binti aliyakataa Matokeo , yule binti akapewa nakala ya majibu yake akaambiwa aende kwa mkemia mkuu dsm apeleke lalamiko la kukataa Matokeo. Yule binti hakuweza Fanya hivyo nahisi alikuwa anajuwa ukweli.
Kimsingi jamaa alimshukuru Sana yule daktari aliyemshauri apime DNA kwani ilimsaidia kumuondolea kero moja kubwa Sana na yule binti
Jamaa anakwambia hata alupokuwa anakaa naye huyo mtoto alikuwa Hana hisia naye kabisa Kama hisia alizonazo kwa watoto wake na mke wake wa ndoa.
Jamaa akaomba na kuhama kabisa mafia kabla hata project haikuisha.
Jamaa alitokea ghafla kumchukua Sana yule binti na katoto alikuwa ameshamgharim zaidi ya 2m kumhudumia.
Baadae nasikia yule binti akampeleka yule mtoto kwa jamaa mwingine shombeshombe mwenzake ambaye kwanza alikataa naye akashauriwa apime DNA , wakapimwa ikaonekana mtoto wake, akakubali kumuhudumia mtoto ila yule binti alimkataa kwani anajua uhusiano wa huyo binti na mshkaji pamoja na binti kumpa mtoto baba ambaye sio wake kwa sababu jamaa alikuwa na uwezo.
Ila mafia kuna uzinzi sana namshukuru Sana Mungu alinilinda kwa ukweli.
Kuna jamaa tulikuwa naye Kwenye hiyo project yeye kuna kabinti alikuwa anatembea nacho kalimchezea show Kali Sana ya kutengeneza fumanizi la kupangwa ambapo jamaa akafungishwa ndoa ya mkeka hapohapo.
Jamaa alikaa na hako kadem/mke wiki akasepa zake dsm HQ akaomba excuse nyingi hawezi kuishi mafia akahamishwa
 
Kama ni mwanaume nina mashaka na wewe, sio riziki na huna nguvu za kiume. Swali lako la kitoto mno.
Nimejenga hoja kwa kumuuliza maswali mtoa mada hili swali limekatika niiliambataniaja na hhoja ambazo zipo katika comment namba 52.
 
Mtoa mada sababu zake alizoweka kutetea DNA zina maswali mengi sana ambayo nimejaribu kumhoji katika comment namba 52 ila mpaka leo hajajibu maswali ambayo nimemuuliza.

Lengo langu ni kutaka kuonesha kuwa tusitetee jambo kwa hoja ambazo hazina msingi mzuri wa uhakika wake.
 
Hii noma!
 

Sio poa Mkuu.
Hii ibaki kusikia na kusoma tuu isikukute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…