Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
HakunaMudathir Yahya
Bangala
Aucho
Sureboy
Aziz key
Zawadi Mauya
Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakunaMudathir Yahya
Bangala
Aucho
Sureboy
Aziz key
Zawadi Mauya
Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
Kitungu sawaumu,kitunguu Maji,tangawiz,mdalasini,chumvi,nyanya,pilipili hoho,erick,pilpil mtama.....Hii ndo team pilau yenye viungo wengi kuuzid UTO..........
Kweli wenye akiri ni wa2
Hahahahahahahahhaah lolKitungu sawaumu,kitunguu Maji,tangawiz,mdalasini,chumvi,nyanya,pilipili hoho,erick,pilpil mtama.....Hii ndo team pilau yenye viungo wengi kuuzid UTO..........
Hizo takataka zote hapo juu ni sawa na putin tu achilia mbali fundi ngolo kanteMudathir Yahya
Bangala
Aucho
Sureboy
Aziz key
Zawadi Mauya
Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
Kazi ya namba nane ni nini??tuanzie hapo kwanzaMimi ni Simba lakini yanga Imekamilika mno.
Simba haijawa na No 8 nazani Tangu kuondoka kwa MATOLA.
Viungo Wote wamekuwa ni WA kusua sua kabisa.
Hayo mambo ya namba siku hizi hayapo watu wanacheza Kwa kufata mfumo wa mwalimu, ukisikia mfumo 4 3 3 , 4 5 1, 3 5 2 kila mfumo Una uchezaji wake.Mimi ni Simba lakini yanga Imekamilika mno.
Simba haijawa na No 8 nazani Tangu kuondoka kwa MATOLA.
Viungo Wote wamekuwa ni WA kusua sua kabisa.
Ndio maana tunaitwa mambumbumbu mipang'ang'a na kila neno sababu ya watu kama nyinyiMbwiga wew unayemfananisha the Magic triple C hizo bamia zako hapo juu
Ni kweli lakini mpo mapinduzi cup kimataifa nilitangaza dau niweke na shabiki wa yanga kwamba wakishinda hata mechi moja tuwekee dau ila hakuna aliyejitokeza mpaka sasa halafu mmebaki kusifia ujinga tu huku mitandaoni.Mudathir Yahya
Bangala
Aucho
Sureboy
Aziz key
Zawadi Mauya
Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
Usiwe na haraka nao hawashindi hata mechi moja hao wasikupe pressure si tupo hapa jukwaani mechi zenyewe wanashinda kwa kuhonga.Utopolo bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakianza kubamizwa champions utaanza kuona wanaandika anatuita wala mihogo sisi! [emoji1787][emoji1787]
Hivi kumbe Matola alikuwa anacheza namba 8 eeh?Simba haijawa na No 8 nazani Tangu kuondoka kwa MATOLA.