kwa East africa Hakuna timu yenye viungo bora kuizidi Yanga.

Kitungu sawaumu,kitunguu Maji,tangawiz,mdalasini,chumvi,nyanya,pilipili hoho,erick,pilpil mtama.....Hii ndo team pilau yenye viungo wengi kuuzid UTO..........
Hahahahahahahahhaah lol
 
Mudathir Yahya
Bangala
Aucho
Sureboy
Aziz key
Zawadi Mauya
Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
Hizo takataka zote hapo juu ni sawa na putin tu achilia mbali fundi ngolo kante
 
Mimi ni Simba lakini yanga Imekamilika mno.

Simba haijawa na No 8 nazani Tangu kuondoka kwa MATOLA.

Viungo Wote wamekuwa ni WA kusua sua kabisa.
Kazi ya namba nane ni nini??tuanzie hapo kwanza
 
Mimi ni Simba lakini yanga Imekamilika mno.

Simba haijawa na No 8 nazani Tangu kuondoka kwa MATOLA.

Viungo Wote wamekuwa ni WA kusua sua kabisa.
Hayo mambo ya namba siku hizi hayapo watu wanacheza Kwa kufata mfumo wa mwalimu, ukisikia mfumo 4 3 3 , 4 5 1, 3 5 2 kila mfumo Una uchezaji wake.
 
Utopolo bana 🤣🤣🤣wakianza kubamizwa champions utaanza kuona wanaandika anatuita wala mihogo sisi! 🤣🤣
 
Mudathir Yahya
Bangala
Aucho
Sureboy
Aziz key
Zawadi Mauya
Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
Ni kweli lakini mpo mapinduzi cup kimataifa nilitangaza dau niweke na shabiki wa yanga kwamba wakishinda hata mechi moja tuwekee dau ila hakuna aliyejitokeza mpaka sasa halafu mmebaki kusifia ujinga tu huku mitandaoni.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Utopolo bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakianza kubamizwa champions utaanza kuona wanaandika anatuita wala mihogo sisi! [emoji1787][emoji1787]
Usiwe na haraka nao hawashindi hata mechi moja hao wasikupe pressure si tupo hapa jukwaani mechi zenyewe wanashinda kwa kuhonga.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Hebu tazama dstv VIPERS ya Uganda ina mechi na Raja Casablanca ya caf champions league leo

Uone wanaume wa Africa mashariki wana vyo battle na wababe wa africa kaskazini.

Yanga angekuwa na viungo bora angeendelea kuwepo ligi ya wababe caf champions league.

Pia yanga angekuwa na viungo bora angemfunga Vipers katika mechi waliyocheza msimu huu.

Yanga leo hii anamuwaza Tp mazembe shirikisho. Huku huyo vipers kamtoa tp Mazembe kwenye champions league na pia vipers kamfunga na yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…