watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Unasema Masters watu tuna PhD na bado wa ovyo kmmkElimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER)
kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
Kweli kabisa. Huko halmashauri kuna mizengwe sana. Unaweza ukawa na shule yako nzuri tu.lakini ukakatishwa tamaa na uaratibu wa kupewa nafasi. Haiwezekani mtu awe na masters kisha apewe kazi za kuhesabu ng'ombeNow ni bora usome kimkakati na sio kuvizia Vyeo unaweza kujikuta unakuwa disappointed
Ukishakuwa mbunge hakuna jazi nyingine unaweza kufanya. Yani ulale pesa inaingia. Uzinduke usingizini useme ndiyooo pesa inaingia. Weee tazama akina halima mdre hujawahi sikia anafanya biashara ila anakwambia ana kama bols 15 benkElimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER)
kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
Umesema ukweli, tena kweli tupuIngia mtaani... hizi elimu hazina maana zaidi ya kukariri what is development.
Siku hizi taarifa walizojivunia nazo wasomi tunazo mikononi. Nikitaka kujua Hitler aliitawala Ujerumani sihitaji masters ya historia ya UDSM namuuliza ChatGPT au YouTube.
Ingia mtaani usome elimu ya walimwengu huku ndiko utajiri ulipo. Hata huo Ubunge unadhani raia wanakuchagua tu....lazima uwe nembo ya mtaa au mtu maarufu kama FA .....Msukuma mwenzako darasa la saba ila Akiongea bungeni huoni tofauti yake na Madaktari wengi hapo Bungeni. Elimu inaumuhimu ila is overrated.
Mauki ana PhD ila ni MC wa Kitchen party. Punguza kuchagua kaziMasters bila pesa? Kile cheti kinakuwa karatasi kama nyingine tu
Hiyo ni sawa tu mbonaMauki ana PhD ila ni MC wa Kitchen party.
AsanteNdoto za Alnacha hizo. Bilioni mbili ukinunua bond unapata keshi kama 200m kwa mwaka. Zaidi kidogo ya 15m kwa mwezi.