Kwa faida hii ,biashara ya Cocaine haiwezi kutokomezeka.

Kwa faida hii ,biashara ya Cocaine haiwezi kutokomezeka.

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
1567976081143.png

Mexico ni eneo la neema kwa wafanya biashara wa madawa ya kulevya.

Ni nchi inayounganisha nchi nyingi za amerika ya kusini na marekani.

Nchi nyingi za amerika ya kusini huuza kilo ya cocaine kwa dola 2000 (4,500,000 tshs), Mexico akinunua yeye anauza kwa dola elf 30 (69,000,00 tshs) kwenye miji ya Marekani iliyo inayopakana na mexico, kwenye sehemu za mbali New York bei inafikia hadi dola laki 1 kwa kilo, huko ulaya ni dola laki 2.

Kwa hii faida nimefikia hitimisho hii biashara haitaisha.
 
Attachments

  • 1567976044368.png
    1567976044368.png
    64 KB · Views: 35
na hapo inategemea na grade ya cocaine, ikimfikia mlala hoi wa TZ atauziwa kwa Tsh 50k+ per kg
 
Hapo Ndio Utajua Kwanini Pablo Emilio Escobar Alikuwa Tajiri Colombia
Jamaa alikuwa ana viwanda vyake na mashamba, tuki adjust mfumuko wa bei, kile kipindi gharama ya kuzalisha kilo ya cocaine kwake ilikuwa kama dola 300 tu na alikuwa ana vijana wake huko marekani wanauza kwa dola elf 50,,,,,,, Mzazi alikaa kwenye game kwa muda mrefu kwasababu alikuwa tayari kugharamia chochote wakati wowote.
 
Yote kwa yote USA hawajaamua kwa dhati kuimaliza hii biashara,wakiamua kweli wanaweza maana Rasilimali fedha ipo na uwezo wa weledi na umahiri upo kabisa kuitokomeza hii biashara
 
Biashara ya wakubwa hyo
Yote kwa yote USA hawajaamua kwa dhati kuimaliza hii biashara,wakiamua kweli wanaweza maana Rasilimali fedha ipo na uwezo wa weledi na umahiri upo kabisa kuitokomeza hii biashara
 
Hapo Ndio Utajua Kwanini Pablo Emilio Escobar Alikuwa Tajiri Colombia
Ungesema "ndo utajua kwanini alikuwa tajiri kuizidi hata serikali yake!"

Yule mjinga haitakuja kutokea!! Unakuwa na mkwanja mrefu, na uhalifu juu hadi unaaipangia serikali kujenga jela maalumu kwa ajili yako!
 
Tanzania sidhani kama Cocaine ipo wengi huleta heroine.
Cocaine bei ghali sana. Colombia inapatikana kwa 3.5usd kwa gram
Kuwait inapatikana kwa 330usd kwa gram ila kuingiza na kuipata ndo kimbembe

Columbia Peru na Bolivia ndio hulima Coca yote duniani

Ukiwa LA unapata kwa 8usd wakati Newyork unaweza ipata kwa 300usd sababu ni mbali sana. Kwa wastani ni dollar 78 kwa gram....

Na kingine nk kuwa Cocain nyingi zimechezewa ili kuongeza faida

Source

Waimalize kwani wenyewe hawataki hela?mkuu wale CIA wanapiga sana hizi deal kwa ajili ya hela za kuendesha operations zao kibao za siri.

Dunia ina mengi hii..oh!
Yote kwa yote USA hawajaamua kwa dhati kuimaliza hii biashara,wakiamua kweli wanaweza maana Rasilimali fedha ipo na uwezo wa weledi na umahiri upo kabisa kuitokomeza hii biashara
 
Back
Top Bottom