Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Mexico ni eneo la neema kwa wafanya biashara wa madawa ya kulevya.
Ni nchi inayounganisha nchi nyingi za amerika ya kusini na marekani.
Nchi nyingi za amerika ya kusini huuza kilo ya cocaine kwa dola 2000 (4,500,000 tshs), Mexico akinunua yeye anauza kwa dola elf 30 (69,000,00 tshs) kwenye miji ya Marekani iliyo inayopakana na mexico, kwenye sehemu za mbali New York bei inafikia hadi dola laki 1 kwa kilo, huko ulaya ni dola laki 2.
Kwa hii faida nimefikia hitimisho hii biashara haitaisha.