Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
hio kg futa weka g (gram)na hapo inategemea na grade ya cocaine, ikimfikia mlala hoi wa TZ atauziwa kwa Tsh 50k+ per kg
Jamaa alikuwa ana viwanda vyake na mashamba, tuki adjust mfumuko wa bei, kile kipindi gharama ya kuzalisha kilo ya cocaine kwake ilikuwa kama dola 300 tu na alikuwa ana vijana wake huko marekani wanauza kwa dola elf 50,,,,,,, Mzazi alikaa kwenye game kwa muda mrefu kwasababu alikuwa tayari kugharamia chochote wakati wowote.Hapo Ndio Utajua Kwanini Pablo Emilio Escobar Alikuwa Tajiri Colombia
Yote kwa yote USA hawajaamua kwa dhati kuimaliza hii biashara,wakiamua kweli wanaweza maana Rasilimali fedha ipo na uwezo wa weledi na umahiri upo kabisa kuitokomeza hii biashara
Tajiri colombia forbes hawakuwa na uhakika kwa utajiri wakeHapo Ndio Utajua Kwanini Pablo Emilio Escobar Alikuwa Tajiri Colombia
Ungesema "ndo utajua kwanini alikuwa tajiri kuizidi hata serikali yake!"Hapo Ndio Utajua Kwanini Pablo Emilio Escobar Alikuwa Tajiri Colombia
Sema unatania!!na hapo inategemea na grade ya cocaine, ikimfikia mlala hoi wa TZ atauziwa kwa Tsh 50k+ per kg
Yote kwa yote USA hawajaamua kwa dhati kuimaliza hii biashara,wakiamua kweli wanaweza maana Rasilimali fedha ipo na uwezo wa weledi na umahiri upo kabisa kuitokomeza hii biashara