Ukitoka kuelewa awa Tff na bodi ya ligi Wana Kiburi, mpaka Leo hawajawahi kuomba msamaha kwa mashabiki, wadau wa mpira licha ya kifo cha Shabiki mmoja kabla ya uo mchezo ku ghairishwa na baada ya kughairishwa.
Tff na bodi ya ligi wanaona Kila kitu kipo sawa yaani hakuna tatizo lolote ndio maana kwa sasa Wana promote mechi uku wanaona mechi Haita kuwepo na taarifa wamesha pewa na Yanga timu mwenyeji.