Kwa fashion hii ya miaka ya iliyopita unaonaje ikarejea tena?

Hapana..sio kwa suruali hiyo mjomba,afadhali hayo mashati
Kipindi fulani hayo mashati si yalikuwepo!!waliyaitaga mashati ya bushoke
 
Hii staili ni ya zamani kwa wengine lakini kwa wasukuma hayo masuruali mapana chini bado yapo kwenye chati mpaka sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo ndani umevaa chu.pi ya kaniki
 
ni ufujaji tu huo!! yan iyo suruali moja apo alovaa mimi nazitoa kama tano ivi au sita
 
Tunaanzia wapi kuvaa hizi mapigo ya kaleee kama sampuli za watu tulionao ni design hii?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huwezi amini ukianzisha biashara ya hayo mavazi unaweza kufanikiwa sana. Binadamu hatueleweki, chacha na viatu vya laizoni vinaweza kuuzwa bei ya juu na watu wakanunua. Hata hivyo maandiko yanasema hakuna kipya, mambo yanajirudia tu.
 
Waliovaa hivi walionekana kuwa nao ni akina Dangote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…