Kwa fashion hii ya miaka ya iliyopita unaonaje ikarejea tena?

Kwa fashion hii ya miaka ya iliyopita unaonaje ikarejea tena?

Tunaanzia wapi kuvaa hizi mapigo ya kaleee kama sampuli za watu tulionao ni design hii??
c36f4b321d46c3c47467500b5f5879fe.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah, kweli kabisaa.
 
Ila ukidundwa hata mimi simooo! Nitatangulia na mkoba, utanikuta nyumbani.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


Hahaha, toka lini Msukuma akadundwa. Sio kwa ugali na masamaki bwana. [emoji2] [emoji28]
 
Hahaha, toka lini Msukuma akadundwa. Sio kwa ugali na masamaki bwana. [emoji2] [emoji28]
Hivi vile visoseji ndio ugali eeh?
Yaani kwakweli sitoingilia kabisaaa, nitatangulia taratiiiibu.
 
hizi ikitokea Jay z kavaa au uko mbele mtu maarufu kavaa na wabongo watavaa tuu me nawajua wabongo
 
Sijui kwenye pochi atakuwa kaweka Biblia! nawaza tu.
 
Apo ndo wanaonekana top most handsome wa mtaa na Bibi zetu wanajigonga tu. Back to back flash back [emoji23]
 
Back
Top Bottom