Kwa fashion Wema amechemka kwa kuvaa gauni style moja, japo anabreak internet

Kwa fashion Wema amechemka kwa kuvaa gauni style moja, japo anabreak internet

by 8020fashionsblog
Wema jana mida ya saa nne usiku hivi alipost picha zake akiwa amevaa this dress kutoka kwa Mac Couture akiwa anaiita hii gauni master piece.
The dress is not a master piece ni gauni ya kawaida tu ambayo kwanza Wema ameshaivaaa,i though Mac atakuja na new goodies maana haya magauni tumeshaona sana its not even cute anymore.
The unambiwa it took him two years kutengeneza hii gauni OMG two years and you came up with this dress????Hunnay una fail big time.
Angle ya picha nayo imemfanya Wema aonekane kama kifutu am not hating ndo ukweli
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif

the fabric ilijitaji kunyooshwa zaidi imtoka na mikunjo hii haimaniiishi hajapendeza ,nilipenda make up and hair
She wore this dress from Elisha Red Label mwaka jana tofauti ni fabrics na mshono hii chini haujajaaa sana

Yaaani hadi pose ni zile zile
Bongo designers YOU CAN DO BETTER
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif


Mwambieni awe anavaa na vimini basi
 
nguo huwa zinawastiri watu mkuu akizivua pale minyama unaikuta inamichirizi utasema kitabu cha atlasi kilicho chorea ramani ya dunia
Khaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom