Kwa fedha zilizotengwa nilitarajia uwanja wa Mkapa uwe na double LED - Perimeter display

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia nguo n.k ni vitu vya ndani sio vitu ambavyo watazamaji waliopo uwanjani na waliopo kwenye Tv majumbani wanahitaji.
Jambo la msingi kama football pitch, bado haina mvuto! Hata ile running track bado imetifuliwa tifuliwa tu yaani kazi inaenda pole pole mno! Wakati huo fedha tayari imeshatolewa! Inashangaza! Tunazidiwa hata na wenzetu hapo Rwanda uwanja wa Amahoro ambao una ubora mkubwa mno!

Pichani ni Double perimeter LED display kwenye uwanja wa Amahoro-Rwanda



Picha zingine



Mheshimiwa Msigwa na wizara yako tunaomba ufanyie kazi suala hili.
 
Nimehoji kuhusu huu ukarabati toka July mwaka jana nikaambiwa niache kiherehere.

 
Inahuzunisha kuona hakuna maboresho ya haraka na yanayoonekana kwa macho....Hata ujenzi wa uwanja mpya kule Arusha hatuambiwi updates ya maendeleo yake! na kule Dodoma ule mpango wa ujenzi wa uwanja mpya sijui umefia wapi..
 
LED utazikuta AZam.Huku kwa mkapa ukimgusa greison msigwa kidogo kashaitisha wahandishi wa habari kufafanua hata ukajamba kisha ukamtag atafanya kuhitisha tena.
Na mwanfa yeye “bado yupo yupo bwana” kigori wa ufisadi ajazoea sana
 
Ndiyo vitu gani hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…