Matusi na dharau na kiburi mwisho wake ndio huu ,,aibuDaraja lilifanyiwa design na jamaa mmoja wenye ujuzi wakampinga. Mfalme mwenye ghadhabu akalipitisha kwa kiburi chake na matusi kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hii picha inasambaa kwenye mitandao, inaonyesha jinsi flyover ya Tazara pale Tanzania ilivyofurika baada ya mvua ya siku moja, najiuliza hivi hii Afrika ina maana wachoraji wa miundo mbinu/ architectural designer huwa wamelala au ni umbumbubu tu.
Cc NairobiWalker
Mpuuzi tu huyo, wala usijisumbue kumwelezea kinagaubaga, he has his missions.Kwa kawaida kwa nature ya terrain kama ni flat terrain mara nyingi drain slope inakuwa ndogo sana. Kwa maana hiyo kama mvua itanyesha kwa wingi sana kwa muda mfupi lazima uone maji yakituama na baada ya muda maji yale yataflow na kuondoka barabarani na hii inatokea sana kwenye flat terrain hasa kiasi cha mvua kinakuwa kikubwa zaidi kwa muda mfupi. Angalia hata France during the time when river Seine water level raised, hii haikuwa Africa wa Tz lakini kutokana na Paris nature yake ni flat terrain basi kwa muda ule watu walitembea kwenye maji. Hii huwezi kuikuta kwenye mountainous terrain kama Kilimajaro, au Mwanza.
MK254 fikiria nje ya box na si kila picha unairusha, yawezekana iko kwenye mitandao lakini si kwa maudhui yako ya kuponda, baada ya nusu saa maji hayo yalikauka kwa hiyo sioni shida hapo ni kawaida sana.
Angalia hii ilitokea France Paris
View attachment 1037347
Wacha nimtag mwenyekiti UVCCM joto la jiwe.
Kwa kawaida kwa nature ya terrain kama ni flat terrain mara nyingi drain slope inakuwa ndogo sana. Kwa maana hiyo kama mvua itanyesha kwa wingi sana kwa muda mfupi lazima uone maji yakituama na baada ya muda maji yale yataflow na kuondoka barabarani na hii inatokea sana kwenye flat terrain hasa kiasi cha mvua kinakuwa kikubwa zaidi kwa muda mfupi. Angalia hata France during the time when river Seine water level raised, hii haikuwa Africa wa Tz lakini kutokana na Paris nature yake ni flat terrain basi kwa muda ule watu walitembea kwenye maji. Hii huwezi kuikuta kwenye mountainous terrain kama Kilimajaro, au Mwanza.
MK254 fikiria nje ya box na si kila picha unairusha, yawezekana iko kwenye mitandao lakini si kwa maudhui yako ya kuponda, baada ya nusu saa maji hayo yalikauka kwa hiyo sioni shida hapo ni kawaida sana.
Angalia hii ilitokea France Paris
View attachment 1037347
Aibu kabisa Mkuu..Aibu tupu, ukisema unaambiwa wewe msaliti kwa nchi yako
Uzalendo kwa tafsiri ya awamu hii ni kusifu na kuabudu hata ujinga unatekelezwa na hawa watawala
acha kutuaminisha uongo kuwa ukweli wa kitaifa,ukiwa mkweli na kuweka facts zako ni bora kuliko kupindisha ukweli,Drainage systems yetu ndani ya jiji letu la Dar imekufa,na utaalamu wa wataalamu wetu hawa unazua maswali mengi bila majibu ya ukweli,mfano why ile barabara yetu kuu kutoka Dar hadi Tunduma ,kile kipande kilichojengwa vizuri tu kati ya nje kidogo ya Mbeya hadi karibu na Mafinga why wameweka matuta makubwa kwenye Freeway?Kwa kawaida kwa nature ya terrain kama ni flat terrain mara nyingi drain slope inakuwa ndogo sana. Kwa maana hiyo kama mvua itanyesha kwa wingi sana kwa muda mfupi lazima uone maji yakituama na baada ya muda maji yale yataflow na kuondoka barabarani na hii inatokea sana kwenye flat terrain hasa kiasi cha mvua kinakuwa kikubwa zaidi kwa muda mfupi. Angalia hata France during the time when river Seine water level raised, hii haikuwa Africa wa Tz lakini kutokana na Paris nature yake ni flat terrain basi kwa muda ule watu walitembea kwenye maji. Hii huwezi kuikuta kwenye mountainous terrain kama Kilimajaro, au Mwanza.
MK254 fikiria nje ya box na si kila picha unairusha, yawezekana iko kwenye mitandao lakini si kwa maudhui yako ya kuponda, baada ya nusu saa maji hayo yalikauka kwa hiyo sioni shida hapo ni kawaida sana.
Angalia hii ilitokea France Paris
View attachment 1037347
Jamaa anaongelea mvua ilionyesha Dar, naona uko ulipo ilinyesha kwa "lisaa limoja". Ila Dar ilinyesha zaidi ya masaa manne.