Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 16,078
- 77,186
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@ Beach kidimbwi flyover...Ndo kwanza mvua zinaanza.Miradi ya Magufuli ni ya hovyo kabisa.
Viwango vya ubora havizingatiwi, yeye siasa mbele quality and standards will come after.
Kwenye Hostel za Chuo Kikuu mabweni yalipotoka nyufa akamleta engineer wake wa Kinyakyusa, akatuletea msamiati EXPANSION JOINT.
Sasa flyover imekuwa Beach, nadhani sasa itaitwa Beach Kidimbwi Flyover
Lile boat lake la MV Dar es Salaam, safari ya kwenda Bagamoyo ilichukua zaidi ya masaa nane na ilikula mafuta mengi sana, kwa aibu akawapa wanajeshi
Sent using Jamii Forums mobile app