Kwa flyover ya Tanzania kufurika hivi, kosa la nani kiutalaam

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@ Beach kidimbwi flyover...Ndo kwanza mvua zinaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mother nature always wins so its no big deal. Kama mvua haijanyesha kubwa na iwe hivi sasa hapo ndo inaeza kuwa ishu
Hapo msimu wa mvua bado, ilikua tu kionjo cha siku moja, wajiandae haswa ninavyojua mvua ya Dar.
 
Acha chuki na jpm wewe huyu ndio rais bora ever
 
Hapo msimu wa mvua bado, ilikua tu kionjo cha siku moja, wajiandae haswa ninavyojua mvua ya Dar.

Wala usipate mimba mkuu,hapo maji hujaa nusu saa na huondoka baada ya nusu saa mvua kuisha.

Siku maji yakifunika hiyo daraja juu,anzisha uzi mwingine.
 
Hii mvua itufanyie Jambo moja tu, inyeshe kimyaa,,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uko sawa. Mie naongeza kuwa hawa wahandisi wetu wanaojenga huwa hawaulizi kabisa wanachi wenyeji kuhusu eneo husika na tabia zake za mafuriko. Hawaulizi namna mkondo wa maji unavopita sehemu inayihusika. Wanaangalia yale ya vitabuni tu. Pale tazara panajulikana miaka yote kwa maji kutuama. Wangejua wangepandisha barabara za chini au wangejenga draunage kubwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmekuheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi humu hamjawah kua na mawazo chanya kuhusu TZ, ni wangapi wanaoifaham Ilo eneo kama ya Ilo daraja kujengwa?Ni jambo la ajabu sana kulaumu tu kila kitu bila hata kujiongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…