FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ukweli tuuseme, kwenye hili la Gas, mwendazake aliturudisha nyuma sana kwenda kuifuta mikataba ya utafutaji na uzalishaji Gas. Ni kama Tumeanza upya kipindi hiki.
Tanzania kwa Gas tuliyonayo, tunaweza kuitumia kuzalisha umeme kwa wingi, tunaweza kuitumia na kuibadilisha ikawa nishayti zingine kama Diesel na Petroli za magari.
Kwa ufupi Gas yetu tunaweza kuanza kuitumia hata kuzalisha umeme na kuwa na umeme mwingi sana na wa uhakika saa zote Tanzania nzima ambao tunaweza kuutumia kama nishati ya usafiri bila matatizo yoyote, kuanzia treni mpaka mabasi mpaka malori yakawa ya umeme, seuse vigari vyetu vya misele.
Imeme tunao, madini ya kuzalisha vitunza nishati (batteries)mtunayo ya kututosha miaka 600 ijayo kama hatutayauza nje.
Tunangoja nini kuwekeza huko na kuhangaika kuteseka kila kukicha?
Watanzania tu wajinga sana kupita kiasi.
Tuanze na mradi mmoja tu kwa makusudi kabisa, mabasi ya mwendo kazi yote sasa hivi yawe ya umeme tu.
Tukitoka hapo tuhamie magari yote ya mjini, ya mizigo na daladala ziwe za umeme tu.
Kampuni zije hapahapa kuytengeneza viwanda vya mabasi, magari na batteries.
Tukiwaambia wachina leo, kesho wanahamia hapa kuyafanya hayo.
Tunangoja nini na "bureaucracy" zetu za kijinga?
Tuwaambie Dubai tu, tuone watavyofanyia Gas tuliyonayyo. Hatuna akili.