johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utajua Hujui ๐๐๐๐ผHizo fikra za kijinga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua Hujui ๐๐๐๐ผHizo fikra za kijinga sana.
Mtu wa hovyo sana yule kuwahi kutokea. Kifupi watu wa pwani........Ndiyo kwanza sasa hivi mama kaanza kuwauzia Kenya na Rostam kaanza kuwauzia Zambia.
Kikwete aliifikisha Ubungo na wazo hill, waulize watumia nini huko, kinachotusaidia sasa hivi kupata umeme na cement?
Kikwete ni namba nyingine ile.
Akawa na miradi mikubwa sana, ambayo sasa hivi ingekuwa siyo mama kuokowa jahazi na kuongea nao vizuri wawekezaji tungekuwa tunawalipa madeni ya kuwatia hasara.
Mama sasa kauwa ukiritimba huko huko TPDC, ndiyo tumeanza alif kwa kijiti kwa ujinga wa mtu mmoja tu.
Tusidanganyane.
Mimi nnakijuwa ni imoja tu, kuwa Watanzania tatizo letu na adui yetu mkubwa ni ujinga. Na wewe unadhihirisha hilo.Utajua Hujui ๐๐๐๐ผ
gas yenyewe imeshauzwa/imeshagawiwa, wachimbaji watauza hadi wapate pesa ya mitambo waliyokuja nayo ndio sisi tupate. hapo haijulikani ni lini, na ni wajinga pekee ndio watakaosema sasa tumerudisha mtaji tuanze kugawana faida. mgodi wa tulawaka kwamfano, walichimba dhahabu yote wakisema kwamba hawajarudisha faida, walipoona wamefaidika wakaondoka na kutuachia mgodi./mashimo.Ukweli tuuseme, kwenye hili la Gas, mwendazake aliturudisha nyuma sana kwenda kuifuta mikataba ya utafutaji na uzalishaji Gas. Ni kama Tumeanza upya kipindi hiki.
Tanzania kwa Gas tuliyonayo, tunaweza kuitumia kuzalisha umeme kwa wingi, tunaweza kuitumia na kuibadilisha ikawa nishayti zingine kama Diesel na Petroli za magari.
Kwa ufupi Gas yetu tunaweza kuanza kuitumia hata kuzalisha umeme na kuwa na umeme mwingi sana na wa uhakika saa zote Tanzania nzima ambao tunaweza kuutumia kama nishati ya usafiri bila matatizo yoyote, kuanzia treni mpaka mabasi mpaka malori yakawa ya umeme, seuse vigari vyetu vya misele.
Imeme tunao, madini ya kuzalisha vitunza nishati (batteries)mtunayo ya kututosha miaka 600 ijayo kama hatutayauza nje.
Tunangoja nini kuwekeza huko na kuhangaika kuteseka kila kukicha?
Watanzania tu wajinga sana kupita kiasi.
Tuanze na mradi mmoja tu kwa makusudi kabisa, mabasi ya mwendo kazi yote sasa hivi yawe ya umeme tu.
Tukitoka hapo tuhamie magari yote ya mjini, ya mizigo na daladala ziwe za umeme tu.
Kampuni zije hapahapa kuytengeneza viwanda vya mabasi, magari na batteries.
Tukiwaambia wachina leo, kesho wanahamia hapa kuyafanya hayo.
Tunangoja nini na "bureaucracy" zetu za kijinga?
Tuwaambie Dubai tu, tuone watavyofanyia Gas tuliyonayyo. Hatuna akili.
Mjinga ndio Kafir anayejiita Muislamu huku akiwa hafuati mafundisho ya Mtume Muhammad SAW!Mimi nnakijuwa ni imoja tu, kuwa Watanzania tatizo letu na adui yetu mkubwa ni ujinga. Na wewe unadhihirisha hilo.
Umeshindwa kujibu hata moja la kwenye hoja unaanza "character assassination". Huo ni ujinga.